Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekumiss kapeaceUkikua hutoleta hii mada yako
Acha kumicmic watu kizembeNakumiss pia kichwa
We una hasara gani kwani?Acha kumicmic watu kizembe
we umewahi msaidia mwanamke akakuita boya?Wanawake wengi ndo walivyo hata kama c demu wako ukimsaidia anajitamba eti we ni boya flan hv umejichanganya. Ila nikuwavumilia tu ni dada zetu
Nawasaidia mara nyingi tu, tena c mara 1we umewahi msaidia mwanamke akakuita boya?
Nawasaidia mara nyingi tu, tena c mara 1we umewahi msaidia mwanamke akakuita boya?
then anakuita boya ? au umeamua kuunga tela tuNawasaidia mara nyingi tu, tena c mara 1
HahahaWakipata Mwanaume anatoa mihela kila anapozihitaji wanamuita buzi
Wakikutana na wagumu wazee wa buku mbili Wanasema Mwanaume suruali. Sasa Tufanyaje jamani
Kwa mfano kuna mwanachuo mmoja amejifafanua kua hayuko poa kiuchumi hivyo nimuwezeshe angalau breakfast for severe days. Cha ajabu nasikia eti anasema mm ni mlugaluga najipendekeza kwake.Nawasaidia mara nyingi tu, tena c mara 1
[emoji23] [emoji23] [emoji23] aiseeAcha kumicmic watu kizembe