Ni Jumamosi nyingine wadai nimekutana na hili balaa wanawake viumbe wa ajabu sana
Nimekutana na hili balaa wandugu nikaona bora nishare na nyiny ipo hv kuna wanawake kadhaa tumepata kufahamiana lkn nimegundua jambo moja wanawake ni viumbe wanaopenda wananekana watu wa matawi fulan sasa wanapokutana na mwanaume kichwa ngumu hapa wanapata fructuation yaan wanavurugwa
Unakuta lidemu lishazoea likituma sms linajibiwa sms papo kwa papo sasa kakutana na kichwa ngumu SMS zake hazijibiwa kwa wakati na hakipiga simu hazipokelew yanaanza kulalamika fulan ana dharau
Lakini midemu iyo iyo sms zako inachelewa kujibu
Hivi nyinyi viumbe mpoje mm ukinijibu SMS yangu baada ya masaa mawili jiandae kujibiwa ya kwako baada ya masaa manne SHWAIN