Wanawake bwana!!

Wanawake bwana!!

Eti namtaka nimpeleke lunch anataka nimnunulie kwanza gauni jipya la mtoko! Mnatuwaziaje sisi wanaume lakini?
Hakupendi unajipendekeza tu, ana fala wake akimwambia atavaa hata gunia na akifika ataagiza wali maharage wala hata jali ukali wa jua!!
 
  • Thanks
Reactions: Mu7
Zama front chagua nyama toa hela piga then its over!!babe~babe zitawaua hayo mambo yaacheni kwenye tv!
 
Back
Top Bottom