Jayfour_King
JF-Expert Member
- Nov 15, 2009
- 1,135
- 130
Inaelekea kuna mahali mtu huko kwenu ulimi wake uliwahi kuteleza kama huu wako hapa na yeye akasikia kuwa katoka katika familia masikini..sasa anafanya malipizi kwa vile kaka yako sasa hana uwezo! Kulikuwa na haja gani ya kutumia neno hilo? Huwa zinaitwa familia zisizo na uwezo.
Swadakta!
Waswahili wanasema mwanzo wa ugomvi ni neno moja, ina maana huyo mama alikuwa anaishi na kinyongo sasa amepata mahali pa ku apply kisasi chake.