kipanga mweupe umegusa jambo ambalo rafiki yangu wa karibu analipitia. mama ana kazi nzuri, mwanaume kazi ndo hivyo tena mambo hayajakaa sawa kiajira. Mume hapewi ehshima yote anayostahili hadi anatamani kutoka nje ya ndo kwani let say akirudi toka kutafuta kazi au michongo mingine hausgael ndiye atoe huduma zote (sio sex) na mama yuko ameshika remote controll yuko busy na Tv. No busu no sex kisa mama hajisikii ila nadhani sababu jamaa mshiko wa outing, na bill zingine haupo. Wanawake je hii ni sawa kwamba mume kazi ikiota nyasi then hata heshima yote inaondolewa hadi kipato kirudi....hadi tendo la ndoa ambalo lingekuwa kiburudisho chakumliwaza jamaa kinafutwa.....tumsaidie huyu jamaa kimawazo hasa.