M manjuki2 Senior Member Joined Jan 22, 2025 Posts 157 Reaction score 107 Feb 8, 2025 #21 Grahams said: Huu Mwaka naupite tu Ukigeuka huku Mama kafanya haya Kule Mama kafanya lile Huku Mama katenda lile Nchi nzima ni Mama Mama Mama ...... Kama mambo yatakuwa hivi, akija Mgeni Kwa mara ya Kwanza Nchini anaweza kuhisi hii Nchi haina Wababa 🙌 Click to expand... Laana ya kumuita mama,mwanamke ambaye hajabeba mimba na kukuzaa ndio matokeo ya haya yote.
Grahams said: Huu Mwaka naupite tu Ukigeuka huku Mama kafanya haya Kule Mama kafanya lile Huku Mama katenda lile Nchi nzima ni Mama Mama Mama ...... Kama mambo yatakuwa hivi, akija Mgeni Kwa mara ya Kwanza Nchini anaweza kuhisi hii Nchi haina Wababa 🙌 Click to expand... Laana ya kumuita mama,mwanamke ambaye hajabeba mimba na kukuzaa ndio matokeo ya haya yote.
Wildchild JF-Expert Member Joined Aug 29, 2018 Posts 19,411 Reaction score 21,938 Feb 8, 2025 #22 Grahams said: Hayo mambo ya maana huwa hatuna interest nayo isipokuwa mambo ya kusifu na uchawa Click to expand... Subiri tutakuwa nayo siku moja Mzee wa misaada kachafukwa.
Grahams said: Hayo mambo ya maana huwa hatuna interest nayo isipokuwa mambo ya kusifu na uchawa Click to expand... Subiri tutakuwa nayo siku moja Mzee wa misaada kachafukwa.