Laana ya kumuita mama,mwanamke ambaye hajabeba mimba na kukuzaa ndio matokeo ya haya yote.Huu Mwaka naupite tu
Ukigeuka huku Mama kafanya haya
Kule Mama kafanya lile
Huku Mama katenda lile
Nchi nzima ni Mama Mama Mama ......
Kama mambo yatakuwa hivi, akija Mgeni Kwa mara ya Kwanza Nchini anaweza kuhisi hii Nchi haina Wababa 🙌