Wanawake darasa la saba washamba/ vihiyo wa mapenzi?

Akutukanaye hakuchagulii tusi!!! kwani kukata kiuno nako kuna chuo unasomea??????

hakuna mikubebe ka miji mama iliyojaa hapa mjini iliyoishia darasa la saba kazi yao kuvunja ndoa za watu?????

aaaaaaaaaahhhhhhh!!! nenda zako na PHD yako???
 
...aha ha! FA sasa utaolewaje (tena) wakati umeshaolewa bana?
On a sewrious note;...nawe una 'madongo' gani kwa waliona elimu chini ya form six?


hahahaaa, you are right, nilitakiwa kuandika 'nisingeweza kuolewa', lol.

Unajua mapenzi hasa ndani ya ndoa hayakamilishwi na sex. Vitu kama compatibility mara nyingi inachangiwa na what you people talk about, likes, do's and dont's. Hebu fikiria wewe unapenda maongezi kuhusu mambo ya maendeleo, investiment za hali ya juu, uleaji wa watoto kwa misingi ya mrengo wa kati; huyo itafikia wakati ataona unampelekesha kwa sababu unatake lead kwenye kila kitu. Lazima ucounter check this and that.

Nadani suala la la elimu katika ndoa ni muhimu, Professor anaweza kuoa form six failure (wanawake wanavumilia na hawa inferiority complex). Mwanaume form six failure akioa Master holder tu (halafu bahati mbaya mwanamke awe muongeaji na mchakarikaji) there must be a problem among 95% o the marriages. Hapo sasa ndipo utakapoanza kusikia wanawake wasomi wana matatizo.

Any way God know's the best.


Akutukanaye hakuchagulii tusi!!! kwani kukata kiuno nako kuna chuo unasomea??????

hakuna mikubebe ka miji mama iliyojaa hapa mjini iliyoishia darasa la saba kazi yao kuvunja ndoa za watu?????

aaaaaaaaaahhhhhhh!!! nenda zako na PHD yako???



Ndoa is not all about kukata kiuno. Labda kama ni uhusiano wa muda mfupi au kibiashara, then mauno comes first.
 
Kama umesoma sana nahisi una ka degree kako kamoja ndo kanakuzuzuuuua na kuwadharau wasichana wa STD 7. Na kutokana na akili yako ilivyokuwa finyu hata kwenye kuchagua mke wewe utachagua vyeti na sio mke bora. I can bet kwa akili hiyo mbofu mbofu hata mke hutaweza kuishi nae hata mwaka mmoja. Sana sana labda ukatafute sugar mammy la kukulea kama kawaida yenu nyie MASHARUBARO, pumbavu.
 

...hapo nimekuelewa. Inferiority Complex ni sawa na mmea unaokuzwa kichwani. Ukiupatia maji na mbolea, haitajalisha mke ni msomi, tajiri, mrembo au 'celebrity' kushinda mume...ndoa itakuwa mashakani tu.
 
...hapo nimekuelewa. Inferiority Complex ni sawa na mmea unaokuzwa kichwani. Ukiupatia maji na mbolea, haitajalisha mke ni msomi, tajiri, mrembo au 'celebrity' kushinda mume...ndoa itakuwa mashakani tu.

mara nyingi inferiority complex inakuja pale anayetakiwa kuwa superior hana uwezo wa kuonyesha superioty yake. Wanawake wamshakubali, wanajihesabu inferior hata pale inapotokea wako superior. Kwa mfano mwanamke kumpa mwanaume pesa aili alipe mnapokuwa restaurant, mnaoenda shopping unampa pesa ili akulipie (aonekane yuko superior) etc.

All in all understanding inaongezwa sana na kiwango cha elimu, exposure etc. Mwanaume form six leaver aliyeishi miaka kumi Uingereza ana uelewa mkubwa kuliko Professor aliyezaliwa, kukua, kusoma na kupata vyeti vyote Dar.

Any way chaguo langu mimi ni mwanaume aliyekuwa na at least advanced diploma.
 
Reactions: 3D.
kwa kweli sifurahishwi na jinsi ulivyowaaibisha wanawake walioishia drs la saba....ni jambo la wazi kuwa wengi wao hawakupenda kuwa hapo walipo sasa,are you sure dat ol of them are poor kwenye hayo mambo...daz it mean dat uliwajaribu wote?hiyo ni falsafa potofu ambayo haifai ktk jamii ya sasa...wewe kama A BIG THINKER unaandika kama mmoja wa wale wasioijua JF.....kama hawajui hayo malavidavi basi wafundishe wewe...haipendezi kwa kweli,unaaibisha wengi ambao ukute wengine ni ndugu zako mwenyewe....:angry:
 


Pole sana Mr President.

Kama nakuona vile ulivyokuwa put off na kigoli uliyekutana nae, too bad for you. Any way kuwa wengine ni darasa la saba ila charm yao itaweza kukufanya ukane wanawake wote wenye elimu juu ya huyo. They say experience is the best teacher, ndio maana wazazi wetu walituambia kua uyaone, sio maghorofa wala magari. Hebu tupatie kisa hiki kwa marefu na mapana tupate kujifunza zaidi.

Elimu katika mahusiano ya kimapenzi na hasa yale yanayotarajiwa kuwa ya muda mrefu ni kigezo cha kuzingatiwa. Kuna ambao wanabahatika lakini.
 

...Mugabe ana Degree saba (7!) na Grace alikuwa Secretary wake. Sshhhhhhh! usimwambie mtu!
Nimezungumzia mfano tu! :A S wink:


FA, kipenda roho bana,...wengine TABIA, au IMANI ndio huipa 1st priority, kisha mengine yanafuatia.
Wengine UZURI, huwatoa fahamu,...

Good for you kigezo cha ELIMU kuwa mojawapo ya
'main' priorities.
 

experience is the best teacher. I have had std 7, rich and the most handsome; was the best thing I ever had and wished to have forever. Lakini ilipokuja kwenye inferiority complex, I gave up. I tried bachelor holders, still the same. What I have now, I thank God tunagombana na kuelewana, I mean what love is all about, and we live our lives. God knows what future holds.
 
Reactions: 3D.
Hii Sred iko JF? au hii laptop yangu nikilog in JF inanipeleka Global Publishers direct?, khaaa msaada wa IT unahitajika.
 
 
Reactions: 3D.

Tunaomba utuonyeshe girls sec ya kujifunza mapenzi mkuu,maana hatujawahi kuisikia.
 
Khaaa!,mtoa mada hajatulia hata kidogo sina uhakika kama anafikiria kwa kutumia kichwa cha chini au cha juu.
 

we ni kichaa! hakuna mada hapa ukumbini zaidi ya upupu!
 
Mapenzi ya kitandn hayahitaji PhD ndugu yangu,tena waweza kuta hao wasomi wako buzy wakitafuta degree na wengine wako buzy wakitafuta namna ya kujenga nyumba zao,swala la kauli ni kuelimishana na kuelekezana tuu.enjoy!
 
Mapenzi ya kitandn hayahitaji PhD ndugu yangu,tena waweza kuta hao wasomi wako buzy wakitafuta degree na wengine wako buzy wakitafuta namna ya kujenga nyumba zao,swala la kauli ni kuelimishana na kuelekezana tuu.enjoy!

unamaanisha mapenzi ni kitandani tuu, ukiamka mapenzi hakuna tena hadi utakaporudi tena kitandani.
 
Mtoa mada has a valid point, ila tu he went straight to the point.

Mr. President is a rare kind of man, he is interested and turned on by the female inner beuty, the brain. He also likes and appreciate the challenge a bright woman has to offer.
Not all but most of men are attracted by outside and fake beauty for a trophy girlfriend or a wife. The truth is, if the "trophy" wife is dumb, after a while it becomes a complete turn off. Hii husababisha wanaume wengi to cheat or to strike a friendship with a woman who stimulates his brain. It get worse when the trophy akianza kuchuja outer beauty, kama vile shape isiporudi baada ya kujifungue, etc.
 
Potelea mbali!wewe unataka mapenzi au maongezi?kuna mijitu humu haina upeo kabisa,mapenzi hayana shule!nahisi wewe ni muhindi au wapenda mapenzi ya kihindi ya kuimba vikota na kusimuliana tamthilia.wengi wa wanawake wenye elimu ndo vihiyo kabisa kitandani.nina mashaka na uzoefu wako ktk kuchakachua.darasa la 7 au 0 oyee
 
Mhh nimekupata mkuu
 
Usitutukane mama yangu mkubwa aliwakuta wasomi kwa mumewe na yeye akiwa form one tu aliwapangua wote mwisho wa siku yeye ndie aliyekuja olewa akiwa amemaliza form four, ni utashi tu wa mtu bwana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…