Wanawake darasa la saba washamba/ vihiyo wa mapenzi?

Wanawake darasa la saba washamba/ vihiyo wa mapenzi?

Sometimes its always gud to read a thread than to comment
 
mahitaji yako binafsi hayawezi kuwa mahitaji ya kila mwanadamu hapa dunia. :director:
 
Bahati mbaya thread hii inaamsha hisia. Wanaotaka kuzima hoja wanataja mama zetu na baba zetu (ambao wengi wetu hawana elimu ya zaidi ya std 7) ili kujenga dhana ya udhalilishaji. Kimantiki nakubaliana na aliyeanzisha thread hii kwa hoja zifuatazo:

  1. Nakiri kuwa elimu kubwa si kigezo pekee cha uelewa. Hata hivyo elimu ni kichocheo kikubwa sana (tena sana) cha uelewa na ufahamu iwe kwa mambo ya uchumi, siasa na hata mapenzi (kwanini tunayafumbia macho mapenzi?). Kwa dunia ya sasa na mapenzi ya sasa wasichana na wavulana hujifunza mambo ya mahusiano kwa njia nyingi kuanzia marafiki, movies (sijasema sinema nimesema movies), internet n.k. Katika mazingira haya watu wa std 7 wanapwaya sana na wengi wao huwa hawako comfortable na mambo ya kisasa kwa sababu wako slow katika kuadapt changes. Mfano, ni rahisi kwa msichana msomi kuja akinyata nyuma yako na kukuziba macho au kukukumbatia nyuma yako wewe mwanaume ukiwa umekaa kwenye kiti (nazungumzia vi-utundu-utundu fulani). Wasichana na wavulana wa std 7 si wepesi (sijasema hawawezi) kumwita mwenziwe "baby"! Jamani, ndo vionjo hivyo!!
  2. Mapenzi hukolezwa na mazungumzo mazuri miongoni mwa waliopendana. Amini usiamini ukiweza kumsemesha msichana vizuri (hata mvulana) utakuwa umemteka kwa 45% (zingine zitajazwa na mambo mengine kama uaminifu, kumsikiliza, kumsaidia n.k.) Sasa std 7 wengi wao hawako vizuri katika kuzungumza. Mtu wa std 7 mfano ukimtumia kadi au ukamwandikia shairi zuri (kiswahili au kiingereza) kutokana na mazingira yake ni vigumu kupata uzito wa ulichokiandika.
  3. Kitandani. kutokana na jukwaa lenyewe sitasema mambo mazito sana. Katika medani hii wa std 7 wanafanya vizuri kuliko katika mambo niliyoyataja hapo juu. Hata hivyo kwa sababu ya limitations wanazokuwa nazo katika exposure wanaweza kuzidiwa kirahisi na waliosoma zaidi.
Hivyo u-std 7 hauaffect wanawake tu, hata wanaume pia. Niko tayari kupingwa, lakini kwa hoja.
 
wanawake darasa 7 wanajua mapenzi sana, kwao hiyo ndio taaluma. Mfano mzuri ni wanawake wa pwani na tanga, hawa hawana elimu na kazi yao/ ujuzi wao ni mapenz!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
wanawake darasa 7 wanajua mapenzi sana, kwao hiyo ndio taaluma. Mfano mzuri ni wanawake wa pwani na tanga, hawa hawana elimu na kazi yao/ ujuzi wao ni mapenz!

mmmmh, wewe gagurito ngoja wakuje hapa wakunange,
wapo humu!!!!!
 
Straight to the point.... Wanawake walioishia darasa la saba hawajui mapenzi kabisa, kitandani hata kimaongezi wengi wao washamba, they almost don't know themselves wapo wapo tu, najua luv doesn't depend much on academic level, ila luv expression does, in love making, expressing they are vihiyo, iam sorry jaribu kutoka mmoja wao. I am done if ur standard seven sitongozi. leta at least O-level certificate, huna sitongozi, std VII waste of
time

Mshamba mwenyewe! Umetembea na wanawake wangapi walioishia std 7 mpaka utoe conclusion hiyo? Kwanza naanza kupata wasiwasi huwa unawamendea bekitatus!
 
kweli mazeee sasa mna bisha nini kwani ninyi haija watokea??????????? mbona mnatupa hasira sasa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
huu upuuzi mtupu! umewahi kuckia chuo kinachotoa digrii ya mapenzi.
 
mbona mmemshambulia sana?

Elimu ni kitu muhimu sana kum-shape mtu hata ktk mahusiano.
Elimu husaidia mtu aweze kuyapambanua vitu ktk maisha.

Mahusiano si kufanya mapenzi tu.
mtu mwenye elimu ktk uhusiano anajitofautisha kabisa na mtu wa std 7 kiupeo.wa std 7 hukosa exposure ktk mambo mengi ya maisha wakati mnbadilishana mawazo hasa pindi mko na marafiki.

NB:si kila msomi ni mjuzi kwenye uhusiano,uhusiano hufanikishwa na vitu vingi kama utamaduni,elimu,imani na malengo ya wahusika.
 
  • Thanks
Reactions: 3D.

Kweli kabisa, hujajibu kwa hisia, umejibu kwa hoja. Nakubaliana nawe. Tatizo la thread hii ni kutaja wanawake, kumbe ni hata wanaume. Wadau wanatakiwa kulitazama suala hili kwa undani kuliko kuweka hisia (emotions) pekee.
 
wanawake darasa 7 wanajua mapenzi sana, kwao hiyo ndio taaluma. Mfano mzuri ni wanawake wa pwani na tanga, hawa hawana elimu na kazi yao/ ujuzi wao ni mapenz!

...haya haya tena, wa Pwani na Tanga vidole juu! uwe msomi, usiwe msomi madhali umetokea mikoa hiyo
kwa mara nyingine tena mko juu!
 
Kila mtu kwa nafasi yake atajitetea.lakini katika uhusiano wa kimapenzi,waliodumu ni hao darasa la saba baadhi yao wakiwemo wazazi wetu.
Na zimeshuhudiwa ndoa,uhusiano wa kimapenzi wa hao wa elimu ya juu kuongoza katika kutokudumu kudumu katika hayo mahusiano ya kimapenzi.
Hivyo hakuna chuo cha Mapenzi na wengi waliofaulu mtihani wa kuyaenzi na kudumu katika mapenzi ni hao Darasa la saba.
Siyo vizuri kuwakashifu
 
Frankly speaking, with all due respect, sidhani kama ninaweza kuolewa na mwanaume aliyeishia form six (unless awe na extra ordinary understanding au pengine alikosa tu opportunity ya kwenda univ au alifukuzwa univ or college).
 
Straight to the point.... Wanawake walioishia darasa la saba hawajui mapenzi kabisa, kitandani hata kimaongezi wengi wao washamba, they almost don't know themselves wapo wapo tu, najua luv doesn't depend much on academic level, ila luv expression does, in love making, expressing they are vihiyo, iam sorry jaribu kutoka mmoja wao. I am done if ur standard seven sitongozi. leta at least O-level certificate, huna sitongozi, std VII waste of
time

Naona baada ya yule binti wa STD VII "kukupiga kibuti" umeamua uje hapa "kuchana"! Kwa hakika mapenzi haya uhusiano na kukaa kwenye madarasa (au kusoma madesa)!
 
Nakushauri ukatafute mtoto wa kidigo aliyekatizwa masomo darasa la nne ili akafundwe; nakuhakikishia hutakumbuka majoho yako ya elimu na kesho yake utatangaza ndoa. Ukishanogewa usijisahau tena, umpeleke shule akamalizie elimu yake.
 
Frankly speaking, with all due respect, sidhani kama ninaweza kuolewa na mwanaume aliyeishia form six (unless awe na extra ordinary understanding au pengine alikosa tu opportunity ya kwenda univ au alifukuzwa univ or college).

...aha ha! FA sasa utaolewaje (tena) wakati umeshaolewa bana?
On a serious note;...nawe una 'madongo' gani kwa walio na elimu chini ya form six?
 
Back
Top Bottom