Wanawake desperate katika mahusiano, wanatengenezwa na wanaume

Nilikuwa naheshimu, nathamini na kupenda kiumbe kinaitwa mwanamke. Nilikuwa nice man. Nilililewa na bimkubwa, hivyo ilinifanya niwe nice sana kwao.

Sikuwahi kumwambia mdada I love you ikiwa najua simanishi. Inshort, I had a true love inside of me. Nimesalitiwa sana na nina maex wengi tu ila wote ni maamuzi yao hasa baada ya kwenda vyuo au kupata wengine.

Sikukata tamaa nilizidi kujipa moyo. Mwaka 2019 ndo nilikutana na kiumbe aliyenifanya niwe mtu mwingine kabisa. Nilimpenda sana huyu manzi. Sijawahi kupenda hivyo na sitokuja kufanya huo ujinga. Alichonifanya ndo nilibadilisha mtazamo wangu juu ya hawa viumbe.

For now, siheshimu, sijali wala siwezi kuthamini hawa viumbe. Sitorevange kwa mdada yeyote maana mi mtu imani. Ila namuonea huruma mke ntakayemuoa. Japo uwezakano wa kuoa ni mdogo sana.

Acheni kutetea wanawake. Hawa watu walishalaaniwa tangu kuumbwa.
Mmh [emoji848]
 
Mi sijui Nini kinatokea ila nadhani Moja ya malengo yetu 2025 iwe kupunguza udharilishaji dhidi ya wanawake hasa mitandaoni
Mfano ukiangalia hapa JF utakuta nyuzi za kuwaponda wanawake ni nyingi mno na wao maskini hujibu kwa kujificha ficha ila unaona namna wanaumia
Tusiwe simps ila pia tusiwe katili dhidi Yao kwa maneno au matendo
Expert nakuunga mkono
 
Tushazoea....utashindana na mtu anayemlaani aliyemzaa utaweza?
Jf imekuwa sehemu ya hovyo sana...
 
Hapana hatuwezi kuzoea tuelimishane taratibu
Nadhani unaona mauaji makubwa na ukatili wa kutisha dhidi ya wanawake huu huanzia kwenye mitandao na kwenda kwenye maisha ya kawaida Leo anafanyiwa wa jirani kesho anafanyiwa mtoto,dada ,mama au hata mtu wa karibu Yako na moyo wako unavunjika kabisa 💔💔💔tukumbushane
 
Ni nyakati mkuu.. upendo hakuna tena
 
Wakuu salaam,

Ukisoma kisa cha patrickk na reply za wadau, utagundua % kubwa ya wanawake desperate wanaotutesa ktk mahusiano, wanatengenezwa na sisi wanaume.

Imagine umekutana na wanawake innocent kama mary & samira, then unawa-disappoint big time, unadhani wanawake hawa wanaweza mwamini kiumbe aitwae mwanaume tena?

Mwanamke desperate, kamwe hawezi kua committed ktk mahusiano sawa na mwanamke innocent, hivo hatuna budi tukubaliane na matokeo ya uharibifu wetu.
Demu yoyote kama sio bikra huyo yupo desperate/broke, hao ni kuwavizia na kula nyabe na kupita kama upepo wa kisulisuli, hizi mbususu sio mali yako wala huwezi kuzimiliki.
 
Mi sijui Nini kinatokea ila nadhani Moja ya malengo yetu 2025 iwe kupunguza udharilishaji dhidi ya wanawake hasa mitandaoni
Mfano ukiangalia hapa JF utakuta nyuzi za kuwaponda wanawake ni nyingi mno na wao maskini hujibu kwa kujificha ficha ila unaona namna wanaumia
Tusiwe simps ila pia tusiwe katili dhidi Yao kwa maneno au matendo
Umeandika kama demu. Kwan wewe ni demu?🤔
 
Back
Top Bottom