Wanawake eti hizi ndio njia wanazotumia kumkataa mwanaume

STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
13,076
Reaction score
17,247
Msichana akitaka kukutafutia sababu ya kukukataa
wala hatumii nguvu, ana full of
option, na majibu yao makuu ni haya yafuatayo:

1.We kwanza mweusi na mi mweusi mtoto atakuwa
so dark, mi napenda wanaume weupe ili mtoto atoke
mzuri.. Anaongea kwa kujiamini utadhani kwenye kutunga mimba huwa anamsadidia Mungu kukoroga
kopo la rangi ya mtoto...

2.We sio type yangu...: sasa sijui type ipi anataka Nokia
au Samsung

3.Am not ready, moyo wangu umepasuka...moyo
upasuke bado unatembea??Tairi lenyewe likipasuka watu wanaziba
pancha...
Kuwa Mwanaume shida, tunapambana na
majibu unaweza kumzaba vibao mtu na Love inaisha
hapohapo!..
 
Mkuu kwa majib hayo mbona hamna aliyekataa hapo????
Swalama lakini????? Bwa shemej
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…