Wanawake eti hizi ndio njia wanazotumia kumkataa mwanaume

Wanawake eti hizi ndio njia wanazotumia kumkataa mwanaume

Msichana akitaka kukutafutia sababu ya kukukataa
wala hatumii nguvu, ana full of
option, na majibu yao makuu ni haya yafuatayo:

1.We kwanza mweusi na mi mweusi mtoto atakuwa
so dark, mi napenda wanaume weupe ili mtoto atoke
mzuri.. Anaongea kwa kujiamini utadhani kwenye kutunga mimba huwa anamsadidia Mungu kukoroga
kopo la rangi ya mtoto...

2.We sio type yangu...: sasa sijui type ipi anataka Nokia
au Samsung

3.Am not ready, moyo wangu umepasuka...moyo
upasuke bado unatembea??Tairi lenyewe likipasuka watu wanaziba
pancha...
Kuwa Mwanaume shida, tunapambana na
majibu unaweza kumzaba vibao mtu na Love inaisha
hapohapo!..

haaa haaa haaa wanakeraa! unaweza kufa kama yesu
 
Kama kawa nondo juu ya nondo watakuelewa tu (stunter)
 
Hela sikuizi tunazitolea Lodge,
msifikiri nasisi ni wazembe namna hiyo

Iyo yakutolea huko lodge ndiyo sababu ya kukutimua huna mapenzi ya kweli umefata chiu kiulaini kabisa.
 
Kuna msimu unaweza ukafululiza kutoswa kwa kila demu unaemuibukia,... Mpaka unaamua kujipa likizo ya muda mrefu kwenye kutongoza
Unavizia ambaye unajua ukitupia kamba hachomoi. Imagine kidada kinajibalaguzabalaguza afu ukikitongoza kinakataa. Afu mwisho wa siku kinakuja na drama oh mie nilikuwa na kupima tu Mara oh mimi ulikuwa utoto. Pumbafu🙁🙁🙁
 
Siku hizi hatukatai tunakubali ila tunaomba hela tu hadi ujikatae mwenyewe.
Unafikiri Mwanaume Ni Nini.. Ni Hela Usidhani unamkomoa Wakati Amazitafuta Mwenyewe... Ukishagawa Tundu tunatafuta Tundu jingine
 
Mwanamke akishafikia hatua hiyo hapo ujue hakuna love tena na tayari kuna jamaa anapewa utamu wote bila hata kuomba, anapelekewa kabisa tena wakati mwingine anaulizwa kama anataka utamu
 
Unafikiri Mwanaume Ni Nini.. Ni Hela Usidhani unamkomoa Wakati Amazitafuta Mwenyewe... Ukishagawa Tundu tunatafuta Tundu jingine

Kwani hayo matundu huwa mnaondoka nayo???? Siku hizi nipe nikupe hakuna cha kupoteza, nabaki na vyangu na hela nishakulamba upo babu.
 
Kwani hayo matundu huwa mnaondoka nayo???? Siku hizi nipe nikupe hakuna cha kupoteza, nabaki na vyangu na hela nishakulamba upon babu.
Ushanilamba au Nakuona Mgawaji Tu... Maana Huwezi Zimaliza hela Mana Hujui Nina Sh Ngapi... Na Nikupazo Inawezekana ikawa 0.0006% ya Hela nilizonazo we Unaona Unanichuna....
 
Ushanilamba au Nakuona Mgawaji Tu... Maana Huwezi Zimaliza hela Mana Hujui Nina Sh Ngapi... Na Nikupazo Inawezekana ikawa 0.0006% ya Hela nilizonazo we Unaona Unanichuna....
Sasa ukiniona mgawaji unanipunguzia nini??? Kiwango cha pesa ulichonacho hakinihusu kwani wewe unajua changu???
Nikisha kulamba nageuka upande wa pili kuendelea na mchezo wakati wewe unaumia.
 
Back
Top Bottom