Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
duh... you're the mpot honest woman on earthSiku hizi hatukatai tunakubali ila tunaomba hela tu hadi ujikatae mwenyewe.
Hahahaha we Si Ndo Ulitakaga Kujiua kisa Mapenzi... Leo Unajifanya Unageuka Upande Wa PiliSasa ukiniona mgawaji unanipunguzia nini??? Kiwango cha pesa ulichonacho hakinihusu kwani wewe unajua changu???
Nikisha kulamba nageuka upande wa pili kuendelea na mchezo wakati wewe unaumia.
Utakuwa umenifananisha Mkuu, na ulichokiandika hakiusiani na mada ya hapa.Hahahaha we Si Ndo Ulitakaga Kujiua kisa Mapenzi... Leo Unajifanya Unageuka Upande Wa Pili
Hahahha Hya Sawa...Utakuwa umenifananisha Mkuu, na ulichokiandika hakiusiani na mada ya hapa.
Kuna msimu unaweza ukafululiza kutoswa kwa kila demu unaemuibukia,... Mpaka unaamua kujipa likizo ya muda mrefu kwenye kutongoza
Ukikubali ni papuchi kwanza then hata nisiporudi pouwa tuSiku hizi hatukatai tunakubali ila tunaomba hela tu hadi ujikatae mwenyewe.
Unadhani papuchi inatolewa kiboya boya tu.Ukikubali ni papuchi kwanza then hata nisiporudi pouwa tu