Wanawake eti hizi ndio njia wanazotumia kumkataa mwanaume

Wanawake eti hizi ndio njia wanazotumia kumkataa mwanaume

Msichana akitaka kukutafutia sababu ya kukukataa
wala hatumii nguvu, ana full of
option, na majibu yao makuu ni haya yafuatayo:

1.We kwanza mweusi na mi mweusi mtoto atakuwa
so dark, mi napenda wanaume weupe ili mtoto atoke
mzuri.. Anaongea kwa kujiamini utadhani kwenye kutunga mimba huwa anamsadidia Mungu kukoroga
kopo la rangi ya mtoto...

2.We sio type yangu...: sasa sijui type ipi anataka Nokia
au Samsung

3.Am not ready, moyo wangu umepasuka...moyo
upasuke bado unatembea??Tairi lenyewe likipasuka watu wanaziba
pancha...
Kuwa Mwanaume shida, tunapambana na
majibu unaweza kumzaba vibao mtu na Love inaisha
hapohapo!..
Nikikujubu ivo ujue nimekufananisha na takataka hata ukinisogelea natamani kupiga kelele..
 
huwa nashangaa anasema ana mtu wake lakin ukikaza baadae anakubali unambandua huku huna penz la kweli tena make unajua ana mtu wake, nikimalza 2 siku hyohyo naanza kutafuta koloni jipya
Wanafeli kwenye somo linaloitwa MSIMAMO
 
Kuna best yang aliachwa na msichana wake eti kisa jamaa anakula PWEZA. ... Hahahaha haha hahaaaaa wanawake bhana
Hahaha... Kwa system hiyo unaweza ukawa umezoea Colgate siku akakuacha kisa umetumia Whitedent
 
Mapenzi ni hisia, Siwez kubali kila anayekuja et kwa sababu tu umekuja.
Kama sijakupenda ntakwambia, na kama nina mpenzi tayari bas ntakwambia.

Siwez juta eti nimechezea bahati kisa una pesa, moyo ndo unapenda, sio macho. Ukikataliwa, take it easy sababu huyo sio wako, tafuta wako na hatakukataa.
hahaaaaaa, Vp na kwa anayekwambia anamtu af baada ya cku mbil tat anakbal ????
 
huwa nashangaa anasema ana mtu wake lakin ukikaza baadae anakubali unambandua huku huna penz la kweli tena make unajua ana mtu wake, nikimalza 2 siku hyohyo naanza kutafuta koloni jipya
una akil saana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom