Wanawake eti hizi ndio njia wanazotumia kumkataa mwanaume

Wanawake eti hizi ndio njia wanazotumia kumkataa mwanaume

Iyo yakutolea huko lodge ndiyo sababu ya kukutimua huna mapenzi ya kweli umefata chiu kiulaini kabisa.
Yaani uingie mpaka chumba cha lodge alafu uondoke kirahisi tu? Labda ukatae kuja lodge kabisaa
 
Sasa ukiniona mgawaji unanipunguzia nini??? Kiwango cha pesa ulichonacho hakinihusu kwani wewe unajua changu???
Nikisha kulamba nageuka upande wa pili kuendelea na mchezo wakati wewe unaumia.
Hahahaha we Si Ndo Ulitakaga Kujiua kisa Mapenzi... Leo Unajifanya Unageuka Upande Wa Pili
 
Wanawake hawana lolote, sharti wawe miguuni mwetu siku zote. Usisumbuke na akili ya mwanamke utakonda bure.
 
Tunawalaumu tuu hawa dada zetu, ukikataliwa kubali na heshimu, ukilazimisha ujue ni lazima kupangwa kwenye list ndefu, mwanamke ana idadi nzuri tuu ya watu wanaomtongoza kila wiki, so ukisema ampe kila mtu si itakua balaa
 
Kuna msimu unaweza ukafululiza kutoswa kwa kila demu unaemuibukia,... Mpaka unaamua kujipa likizo ya muda mrefu kwenye kutongoza

kweli kabisa kuna wakati nilitoswa na madem wanne ghafla nusu niende kwa mganga aisee
 
Mapenzi ni hisia, Siwez kubali kila anayekuja et kwa sababu tu umekuja.
Kama sijakupenda ntakwambia, na kama nina mpenzi tayari bas ntakwambia.

Siwez juta eti nimechezea bahati kisa una pesa, moyo ndo unapenda, sio macho. Ukikataliwa, take it easy sababu huyo sio wako, tafuta wako na hatakukataa.
 
huwa nashangaa anasema ana mtu wake lakin ukikaza baadae anakubali unambandua huku huna penz la kweli tena make unajua ana mtu wake, nikimalza 2 siku hyohyo naanza kutafuta koloni jipya
 
Kuna best yang aliachwa na msichana wake eti kisa jamaa anakula PWEZA. ... Hahahaha haha hahaaaaa wanawake bhana
 
Back
Top Bottom