Wapi wataweza?.... ngono ni inherent need ya binadmu.Ifike mahali mnaosema wanawake hawana chaku-offer, hawana jipya, wako overrated, mmetuchoka etc. Etc. mliwazane wenyewe kwa wenyewe! Ama mtafute dunia yenu mkajifiche huko mtuache tupumue kidogo na hawa wanaotuelewa.
Asanteni sana!
We kauzu
Tuko pamoja hapaKatika wanawake niliodate nao zaidi ya 95% tuliachana kwa sababu sitoi hela kirahisi.
Kwa bahati mbaya sijui niite nzuri, nina bahati ya kupata wanawake sana situmiagi nguvu mingi. On the way nikishakula mzigo akianza vizinga huwa napotea kimya kimya tu
Hii imekuaa hulka yangu kabisa, kumpa mwanamke hela naona kama ile ya kumpa dalali wa nyumba hela ya mwezi mmoja bure kisa kaongea ongea tu.
hainiingii akilini mwanamke mwenye kazi na mipango yake ya maisha, sio mlemavu kila siku mimi mimpe hela? Akili imegoma kabisa wakuu.
Mimi kama kawaida, niko upande wa wanaume na katu siachi kuwasanua wanaume wenzangu juu ya utapeli wa kingono. Hakuna maajabu. Nimefanya tendo la ndoa na wanawake wengi nimegundua kuwa hakuna jipya, wanawake ni overrated. Ukimwaga ndio utajua hili ninalolisema.
Tunatumia pesa nyingi kuwinda sehemu za Siri za mwanamke ambazo hazina maajabu. Shitukeni wanaume, sex ni scarm hasa hizi sex za watu ambao si mume na mke.
Wakati nimeoa nilikuwa nanyandua sana na wife. Sasa siendekezi ngono, wife akitaka ninamnyandua niko fit kitandani, hata kuunganisha waya mbili naweza sana.
Sema sasa hivi pesa yangu hailiwi na Malaya, nokimpa Binti moyoni nasema namsaidia maskini na yeye kama atanipa sawa lakini Mimi nikimpa pesa nasema nampa mahitaji (maskini).
Kweli Mkuu unajua wanaume wengi sana tunapata pesa ila zinaishia kwa wanwake?Bila hivyo hata bajaji utaisikia kwa jirani tu[emoji23][emoji23][emoji23]
Ukorofi umeanza lini?Ifike mahali mnaosema wanawake hawana chaku-offer, hawana jipya, wako overrated, mmetuchoka etc. Etc. mliwazane wenyewe kwa wenyewe! Ama mtafute dunia yenu mkajifiche huko mtuache tupumue kidogo na hawa wanaotuelewa.
Asanteni sana
Baada ya uchokozi kuzidi...π₯΄Ukirofi umeanza lini?
Acha u..ko..ro..fiiiBaada ya uchokozi kuzidi...π₯΄
Nimeshaacha lakini!π
Nisamehe mwalimu...ππ Sirudii tena!π₯ΊAcha u..ko..ro..fiii
Hilo tundra ni muhimu aseee πMimi kama kawaida, niko upande wa wanaume na katu siachi kuwasanua wanaume wenzangu juu ya utapeli wa kingono. Hakuna maajabu. Nimefanya tendo la ndoa na wanawake wengi nimegundua kuwa hakuna jipya, wanawake ni overrated. Ukimwaga ndio utajua hili ninalolisema.
Tunatumia pesa nyingi kuwinda sehemu za Siri za mwanamke ambazo hazina maajabu. Shitukeni wanaume, sex ni scarm hasa hizi sex za watu ambao si mume na mke.
Wakati nimeoa nilikuwa nanyandua sana na wife. Sasa siendekezi ngono, wife akitaka ninamnyandua niko fit kitandani, hata kuunganisha waya mbili naweza sana.
Sema sasa hivi pesa yangu hailiwi na Malaya, nokimpa Binti moyoni nasema namsaidia maskini na yeye kama atanipa sawa lakini Mimi nikimpa pesa nasema nampa mahitaji (maskini).
Kweli Mkuu unajua wanaume wengi sana tunapata pesa ila zinaishia kwa wanwake?