Wanawake hatupendi wanaume wazuri wala wavaaji sana

kabla ya yote
picha haihusiani na story ni mfano tu wadau!
Mungu alituumba wanawake na roho nyepesi na huruma sana.tupo simple sana sema wanaume mefanya dunia kuwa sehemu ngumu ya kuishi
niwapeni siri wewe mwanaume hata uwe tajiri kiasi gani na hela za kuonga kiasi gani kama wewe una sura nzuri halafu unapenda sana kupigilia pamba yaani ile unajipenda penda sana ni nadra sana kupata mwanamke makini wa kukupenda. na kukufurahia hata uwe bilionea
wanawake wengi tunapenda wanaume wenye sura isiyoelezeka.na anaevaa kiume standard .
standard namaanisha kama ni kazini utamkuta na nguo za kazini za kawaida shati safi mikono mirefu kachomeka na kiatu cha kudumbukiza fresh. siku za kawaida jeans na tshirt na raba au sendoz
mwanaume anaenukia marashi yake kwa mbaali plus kikwapa cha mbaali hadi nyege zinakupanda si mnajua tena kwapa la mwanaume linamtoa nyoka pangoni? na nywele zake kazinyoa tu kawaida.
siku hizi nashangaa unakutana na mwanaume kajilipua kajilipua . unajiuliza huyu akifumaniwa anaanza kuvaa nini?
17494570_1709586272673470_7269433054165204992_n-jpg.492777

yaani kaka zangu na wadogo zangu nawaambieni kama wewe ni mzuuuri jua tu mkeo au mpenzi wako yupo mahali anakojoleshwa na mwenye sura ya kiume . wanawake ndo tulivo tunapenda wanaume wenye sura mbaya na waliokaa rafu ili hata nguo tuwanunulie wenyewe na kuwapendezesha wenyewe .mwanaume unajua kujipendezesha .kila kitu unajua wewe kuvaa na kunukia ni ngumu kwa kweli utasaidiwa sana hata kama hela unayo
so ni hivi acheni ndevu ziote ote acheni kulala saluni na harufu ya vikwapa tuisikie
Du mke wangu mtarajiwa umeckia njoo spea party umuone mumeo na kesho utafua tu nyambafuu
 
Umeusemea Moyo wako sio mioyo ya wote, Mimi ninapendwa na Wanawake kisa umaridadi wangu.
 
Aaaah liwalo na liwe tu mkitukataa mtukubali poa tu aaaaah bashite atuchanganye na nyie mtuchanganye aaaaaah weeee,....
 
Mwanaume mwenye sura mbaya siwez jamani. Unaweza ukawa na sura ya ancestor wako ila unajua kuvaa na hela unayo na akili ipo ipo kidogo naweza kukaa. Wanaume wenye sura mbaya afu hela hawana siwezi na sitaki wanipitie mbali kabisa. Mi sio mbaya kwanini nibebe mtu mbaya ikatokea nimenasa bahati mbaya nianze kupata mawazo mwanangu atakuaje inahusu??
 
Dadangu kila MTU anakipenda roho chake binafs napenda mwanaume smart na hunifanya nisitamani mwingine. Ila kwa kaka yetu walimpa shetani nafasi ya kuvuruga ndoa yao niliipenda sana couple yao na nimehuzunika sana kuachana kwao. Coz shetani huja kuvuruga na kuharibu nadhan walipendana sana wakalegeza maombi na kusahau kua adui anarandaranda akitafuta cha kuharibu.
 
hawa viumbe bana, wanapenda tuwe wasaf af wachaf, warefu af wafup, tuwe na hela af tucwe nazo, wakal af wapole, wanene af wembamba, wazur af tuwe na sura mbaya, tupendeze af tucpendeze duu, kama mung akuwaridhsha je? mwanaume ataweza?
Be you!!! Na anaekutaka utampata tu!!! Ukianza kufuatilia nini wanawake tunataka unaweza changanyikiwa!!! We want everything
 
Sijui nina pepo!!! Ila kaharufu (sio liharufu) ka kikwapa cha mwanaume hua kinanitekenya kunako...
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji90] [emoji90] [emoji90] [emoji90] [emoji90]
 
Mwanaume mwenye sura mbaya siwez jamani. Unaweza ukawa na sura ya ancestor wako ila unajua kuvaa na hela unayo na akili ipo ipo kidogo naweza kukaa. Wanaume wenye sura mbaya afu hela hawana siwezi na sitaki wanipitie mbali kabisa. Mi sio mbaya kwanini nibebe mtu mbaya ikatokea nimenasa bahati mbaya nianze kupata mawazo mwanangu atakuaje inahusu??
Ujue useme hutak mwanaume mbaya af ww uwe na sura nzuri sio unasema unataka mwanaume mzuri kumbe ww ndo pang'ang'a wa mwisho...!!!!
 
Chieeeef unadhan ntataka mwanaume ana sura nzuri wakati mimi nina sura ya mjomba wangu??? Hell Naaaaaah. Nataka mtu tunaefanana ndio maana sitak mtu mbaya.
 
kabla ya yote
picha haihusiani na story ni mfano tu wadau!
Mungu alituumba wanawake na roho nyepesi na huruma sana.tupo simple sana sema wanaume mefanya dunia kuwa sehemu ngumu ya kuishi
niwapeni siri wewe mwanaume hata uwe tajiri kiasi gani na hela za kuonga kiasi gani kama wewe una sura nzuri halafu unapenda sana kupigilia pamba yaani ile unajipenda penda sana ni nadra sana kupata mwanamke makini wa kukupenda. na kukufurahia hata uwe bilionea
wanawake wengi tunapenda wanaume wenye sura isiyoelezeka.na anaevaa kiume standard .
standard namaanisha kama ni kazini utamkuta na nguo za kazini za kawaida shati safi mikono mirefu kachomeka na kiatu cha kudumbukiza fresh. siku za kawaida jeans na tshirt na raba au sendoz
mwanaume anaenukia marashi yake kwa mbaali plus kikwapa cha mbaali hadi nyege zinakupanda si mnajua tena kwapa la mwanaume linamtoa nyoka pangoni? na nywele zake kazinyoa tu kawaida.
siku hizi nashangaa unakutana na mwanaume kajilipua kajilipua . unajiuliza huyu akifumaniwa anaanza kuvaa nini?
17494570_1709586272673470_7269433054165204992_n-jpg.492777

yaani kaka zangu na wadogo zangu nawaambieni kama wewe ni mzuuuri jua tu mkeo au mpenzi wako yupo mahali anakojoleshwa na mwenye sura ya kiume . wanawake ndo tulivo tunapenda wanaume wenye sura mbaya na waliokaa rafu ili hata nguo tuwanunulie wenyewe na kuwapendezesha wenyewe .mwanaume unajua kujipendezesha .kila kitu unajua wewe kuvaa na kunukia ni ngumu kwa kweli utasaidiwa sana hata kama hela unayo
so ni hivi acheni ndevu ziote ote acheni kulala saluni na harufu ya vikwapa tuisikie
Dah miss natafuta yaan kama umeniongelea mim maana Nina sifa zote hizo ulizozitaja za kiume,
Kama huna msela ni pm
Tunaweza tukafika mbali
 
Chieeeef unadhan ntataka mwanaume ana sura nzuri wakati mimi nina sura ya mjomba wangu??? Hell Naaaaaah. Nataka mtu tunaefanana ndio maana sitak mtu mbaya.
Ooooh...!!! Nifate PM niprove kama ni kweli huna sura ya mjomba ako [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
mwanaume ananyoa ndevu kila saa si muache ndevu ziote jamani?
Hivi mkiambiwa hamjielewi bado pia utabisha!
Nini sasa umeandika, nyoosha maelezo wewe unapenda ndevu rasta basi ueleweke.
Wengine kila siku ugomvi na wake zetu kisa tumerejea kutoka kwenye mihangaiko bila kunyoa ndevu, wewe unasema wanaume waache ndevu ziote
 
Back
Top Bottom