Wanawake Hawa kujichora tattoo ya Nabii Geo Davie, ni mahaba au kutafuta fursa?

ANTDOTE

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2023
Posts
216
Reaction score
609
Hapo chini ni mgongo wa mwanamke kwa Jina la Elizabeth Benjamin aliyejichora tattoo ya Jina la Geo Davie, na kupelekea Ndoa yake kuvunjika. Lakini alipofika kanisani kwa Nabii Huyo aliweza kuvuta mkwanja kama hongera kwa kujichora tattoo hiyo.


Na Sasa msanii Amber Rutty Naye amefuata kwa kujichora tattoo ya sura ya Nabii Geo Davie mgongoni mwake kama inavyoonekana hapo chini


Swali linabaki, haya ni mahaba au ni kutega fursa?
 
Ujinga tu, yani nijichanganye nikafanye huo ujinga yule mtoto wa mama mkwe ananiacha asubuhi na mapema.
Haishangazi huyo mwanamke kuachika.

Hivi haya maigizo yanamnufaisha vipi Geo Davie? Sijawahi kuelewa.
 
Ujinga tu, yani nijichanganye nikafanye huo ujinga yule mtoto wa mama mkwe ananiacha asubuhi na mapema.
Haishangazi huyo mwanamke kuachika.

Hivi haya maigizo yanamnufaisha vipi Geo Davie? Sijawahi kuelewa.
Unachora ile ya kufutika.

Ila imani hii yetu inachezewa sana ila jamaa wanajua wajinga wengi daaah.........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…