Wanawake hawa wa "jf" ni mfano wa kuigwa...nawapenda sana

Wanawake hawa wa "jf" ni mfano wa kuigwa...nawapenda sana

Kumbe katika orodha ya wale wanaokubalika simo!! Looooh!! Kwa kuwa wana JF naona kama hamutaniambia tu kwamba munanikubali, basi kwa hasira mie nitajichimbia vizuri huku Katavi nikae kimyaaa na mukizidi kuniandama nitahamia Antarctica!!!!
 
Yaani umeingia JF siku ya Alhamis tarehe 27/10/2016 halafu umewajua tayari members wa humu na kuwakubali! ama kweli nimeamini waliosema kuwa JF members halali hawafiki hata 50 wengine wanarudia rudia kufungua ID za nyongeza kiasi kwamba tunaonekana tuko wengi! pole zake!

Unaweza kukuta amejiunga io tarehe lakini alikua anafatilia mada mbali mbali kbla ya kuwa member..id zinaonekana na unaeza kukuta alikua anawakubali tangu hajawa member JF
 
Wangu geniveros baby cute mashallah .

Hakika anastahili kuwepo hapo[emoji3]
 
Unaweza kukuta amejiunga io tarehe lakini alikua anafatilia mada mbali mbali kbla ya kuwa member..id zinaonekana na unaeza kukuta alikua anawakubali tangu hajawa member JF
Huyo ana ids nyingi, wacha kumtetea......watu kama hawa wanajulikana tu
 
Huyu Latifah ndie yule wa MADALE au nimemfananisha...!! Mi mgeni..
 
Sasa tatizo lako unaamini, ila kwenye maisha unatakiwa kujua na sio kuamini. Yuko sahihi kabisa.
Tatizo na uso wako umeuficha labda uuweke uonekane kidogo,,Inawezekana ukakonga nafsi hata zilizo na misimamo isioyumba.
 
1.sky elcat
2.miss chagga
3.miss natafuta
4.feitty
5.scorpio me
6.Nifah
7.cute b
8.heaven sent
9.Geniveros

Jamani nawakubali sana girls

Ilaa kuna huyu hapa
1.Monicca
Simuelewagi
Sijui kala maharage ya wapi huyuuuu[emoji38]
ulikuwa unatafuta lyks bora hujajitaja mana nzinzi tu
 
Back
Top Bottom