Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
usitujumuishe wooote kuwa hatujiamini... uzoefu unaonyesha hata kama ukiletewa wa vijijini utawaona wabayaaa lakini wakipigwa soapsoap la mjini wanakuja kuwa warembo, lkn bado hiyo sio sababu ya maana ya kufanya eti uchaguuue, labda huyo ana matatizo yake mengine ya kutokujiamini.
Mkuu imenenwa mwanamke mwerevu hujenga nyumba yake mwenyewe na mwanamke mpumbavu hubomoa nyumba yake mwenyewe (nisamehe kama sijaweka vizuri kauli yenyewe) lakini kifupi ni kwamba mwanamke atakuwa ni mjinga akikubali kuwa na housegirl aliyemzidi uzuri, au aliyemzidi hekima au aliyemzidi busara-ni muhimu mama mwenye nyumba akawa mbele tena kwa mbali kwa kila kitu dhidi ya housegirl
umeshasema karibia wote ina maana si wote!Sasa karibia wote wanaonesha ili swala sasa kwa nin nisi generize kwa wote?
Mie hgeli asiekuwa na mvuto simtaki! Tena sharti akiamka afanye usafi afu aoge ndo apike chai. Nikipishana nae anukie uturi. Kama mwenza wangu atamtamani shauri lake, his loss!
Hivi mnafikiri mwanaume kukutwa anatembea na hgeli ni aibu yake ama ya mkewe? I'd rather have an affair na boss wangu than mlinzi wa nyumbani kwangu. Zero grazing ni dalili ya uvivu wa kufikiri and that kind of a man nam_dispise!