Wanawake Hawajiamin kwa nin?

Suluhu si kutafuta beki tatu mbaya bali ni kujia mini, maana hata huyo mbaya akijilengesha ana pitiwa tu:
 

Sasa karibia wote wanaonesha ili swala sasa kwa nin nisi generize kwa wote?
 
waume zao ndo wanaoyasababisha

Sio kweli Mwiyuzi mbona shemeji yangu mstaarabu sana? Jibu ni kuwa hawa wakina dada zetu hawajiamini hili ndo tatizo
 

raha ya msaidizi wa kike mrembo ukiwa na kijana wa kiume pale nyumbani ili ajifunzie kurenga hawa madada ni walimu wa watoto wetu(son) haswa mida ya balehe
 
Ambae hana mvuto huwa mchapakazi mzuri na hana usumbufu, utakavyomuacha ndo utakavyomkuta.
 
hahhah majibu ya hii mada yamenichekesha,eti akiwa mbaya atatishia watoto hahahahahahahh,well kuwa na housegirl ni dalili ya uvivu ukikwapuliwa usilalamike.:redface:
 

Zero grazing,nimeipenda.
 
Cha ajabu, anaweza chagua asiye na mvuto....baada ya miezi kadhaa binti anabadilika, kaisha ng'aa,kijungu ndo hicho,vipozi na tabasamu za hapa na pale halafu msafiiiiiii....mtoto kesha jua mahala pa kwenda kusuka vizuri, vinguo anavaa vinamtoa vilivyo...! We acha tu....kuna mwanamke mbaya siku hizi??? mwishowe anaanza kufikiria kumtimua tena,
 
Hilo swali unaeza apply pia kwa wanaume..how does it feel siku ukimkuta a houseboy who is very attractive kuliko wewe and smarter?
Insecurity sio sexwise ila ni human..achana na uzuri wa nje tu,money,charisma status,influence etc vinaweza mfanya mtu awe insecured na mwenzi wake.
Kwanini maboss wengi hawapendi kuchukua watu ambao wako intelligent kuwazidi?hata wakichukuliwa wanatumiwa less kumcover boss etc.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…