Mjanja M1 JF-Expert Member Joined Oct 7, 2018 Posts 4,058 Reaction score 14,382 Jul 15, 2024 #1 Wanawake siku zote hawajioni kama wao ni maskini, ila wanachojua ni kwamba wako kwenye mahusiano na mwanaume asiye na hela.
Wanawake siku zote hawajioni kama wao ni maskini, ila wanachojua ni kwamba wako kwenye mahusiano na mwanaume asiye na hela.
King Kong III JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 56,205 Reaction score 79,515 Jul 15, 2024 #2 Mjanja M1 said: Wanawake siku zote hawajioni kama wao ni maskini ila wanachojua ni kwamba wako kwenye mahusiano na mwanaume asiye na hela. Click to expand... Hahahaa umepiga kwenye mshono ,ngoja waje.
Mjanja M1 said: Wanawake siku zote hawajioni kama wao ni maskini ila wanachojua ni kwamba wako kwenye mahusiano na mwanaume asiye na hela. Click to expand... Hahahaa umepiga kwenye mshono ,ngoja waje.
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 52,160 Reaction score 48,974 Jul 15, 2024 #3 Wanasonya
babuzer JF-Expert Member Joined Feb 19, 2021 Posts 310 Reaction score 695 Jul 16, 2024 #4 "Nimeshaona wanaume wengi sana wakiwatoa wanawake kwenye dimbwi la umaskini, na pia nimeshaona wanawake wengi sana wakiwa filisi wanaume ambao walikuwa matajiri " Alisikika mlevi mmoja akisema
"Nimeshaona wanaume wengi sana wakiwatoa wanawake kwenye dimbwi la umaskini, na pia nimeshaona wanawake wengi sana wakiwa filisi wanaume ambao walikuwa matajiri " Alisikika mlevi mmoja akisema