Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 8,611
- 16,118
To be honest, wanawake hawanaga lolote la kutufaa sisi wanaume kwenye mahusiano apart from sex.Yaani kutwa kucha tupo kuwahangaikia Wanawake eti kisa utelezi tu.Unajikuta umevutiwa na mwanamke unafall in love naye ukidhani utakusaidia kwenye Mambo mengi kando na kukupa mbunye tu kumbe holaa.Yaani yeye yupo yupo tu Hana lolote la kutufaa afu anataka umtimizie mahitaji yake yote kwanzia kwenye kula yake,mavazi na umpe hela ya matumizi.Baada ya kumfanyia yote haya unaishia kulipwa fadhila za ngono tu.Khaa!
Binafsi mpaka leo hi nimedate na mademu karibia 28 wa aina zote weusi kwa weupe,warefu kea wafupi,wa kishua na wamachinga, wembamba kwa wanene ila hakuna kubwa nililopata kwao zaidi ya kupewa utelezi.Wapo ambao niliwakuta hawana lolote nikawainua nikidhani nao watakuja kunisadia kumbe ndo KWANZA nawapa kichwa wavimbe waniache.Unajitutumua unamnunulia mtoto wa watu simu Kali,unamtoa out,unampeleka shopping,unamuungia vocha na bundle kwenye simu yake,unamvisha mixer kumpa hela za matumizi mengine na mwisho wa siku anavimba kichwa eti anataka muachane.
Nikikaa chini nianze kukokotoa hesabu za pesa nilizotumia kuwaendekeza mademu afu nimeishia tu kupewa sex ninaweza nikarukwa na kichwa aisee! Yaani Hawa viumbe huwa wanaturudisha nyuma Sana sisi wanaume.Tunashindwa kuwekeza resources zetu kwenye shughuli muhimu tunazitumia kuwaendekeza Wanawake na mwisho wa siku tunakufa masikini hohe hahe.Kuna muda huwa nawaza kukuta hiki kinyama cha hamu(dyu dyu) labda sitakuwa na hamu ya kuwatongoza wanawake Ila nashindwa.
Mwanaume unayesoma post hii ebu kaa chini ujitaathmini na uyaataathmini mahusiano yako na ujiulize Kama Kuna faida za ziada unazopata kutoka kwa huyo mwanamke/ wanawake wako.Na ukitaka ufe fanya hesa za pesa ulizotumia kuwaendekeza.
Kuna mtu mmoja aliwahu kusema kwamba Ni vitu viwili tu ambavyo vinamfanya mwanaume ahangaike Hapa Duniani,navyo Ni PESA na WANAWAKE.Itoshe kusema kwamba sisi wanaume tunaishi kuwahangaikia Wanawake na Wala hutapati faida zozote kutoka kwao coz Kama Ni suala la kupeana unyumba Kila mmoja huwa anapata Raha inakuwa wini- win situation.
USHAURI WANGU KWA WANAUME.
Wanaume tujiongeze.Tufanye mkutano tukae chini tujadili jinsi tutakavyo waepuka Hawa Wanawake maana wanatufanya tuteseke Sana kwa ajili yao.Tumuombe Mungu atutoe hamu za ngono Ili tuache kuwashobokea wanawake tuendelee na shughuli pevu ya kuijenga Dunia.
I stand to be corrected where I've gone astray.Anayepinga aje na sababu za kueleweka.