Wanawake hawana kitu kingine cha kuwapa wanaume tofauti na ngono

Tafuta hela ndugu yangu. Maisha bila wanawake au bila mapenzi yatafaa nini? Huo etelezi ndio unaofanya dunia inazunguka. Bila huo unafikiri hata kazi utafanya basi? Bila utelezi hakuna maisha duniani coz utelezi plus mbegu= watoto so hata wewe ni zao la utelezi pia
 
Mungu akubariki wewe na kizazi chako hakika..!!
 

Kutolewa hamu za ngono hakutasaidia lolote...

Wewe pambana mkuu,, hii Dunia sio yetu... huwezi kwepa papuchi...Jifunze kuishi nazo....acha kuwaza hekaya za abunuasi

NB: Siku hizi vijana wanalelewa pia,, so wanapewa papuchi na Wife anasimamia show zote za mahitaji home,,, huku vijana hao wakidai kuna mchongo wanasikilizia
 
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Bandiko zuri Sana hili,
Sema tatizo Maisha ndivyo yalivyo mkuu[emoji4]

Ni ngumu Sana kupingana na nature.

Cha muhimu ni kupambana TU maana umezaliwa mwanaume,nivizur ukifa kiume pia [emoji4]
 
Komaa kutafuta pesa mkuu maan nyie wanaume hamna kitu Cha kutupatia tofauti na pesa[emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Soma hii
 
Hamia kwa wanaume wenzio usituchoshe
 
Sijasoma ila lazima umeandika pumba.
Women respect men who take what they want.

If you want to have a girl, be sexual with her.
Make sexual jokes, touch her, and escalate.

If you keep it too friendly and play it safe,
you become one of her girlfriends.

You have a dick.

Don't be afraid to use it.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
SANAMU LAKO TUKUJENGEE WAPI? Binafsi nitachangia mifuko ya cement 50
 
Wanaume wengi kwa vipato vyao kiwe kikubwa ama kidogo wametiwa umaskini kwa sababu ya kuhendekez kuhonga
 
Kabjsa mkuu bila kuwa na mrembo pembeni kuliona tako tuu lina vibrate tayari umepunguza mwaka kwenye uhai wako....

Mbususu inatusaidia sana wanaume katika kufikia malengo hetu maana kwanza akili zina charge kweli kweli. Long live mbususu๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Kweli kabisa usilete story ndefu wee mwanamme kwake umefuata mbususu sasa atiry nyingi za nini?
Ikiwezekana on first date wee omba mzigo, akileta story oh mbona unaomba mzingo mapema just know she is chiildish move to the next.

Mie nina lrinciple yangu moja. No nation has benefited from prolonged warfare. Drains resources and morale sags.
 
Siku wajanja wanasema tukikutana tule tunywe tukafanyane kisha useme.

Kama utahesabu basi hesabu kwenye kula na kunywa lakini mambo ya kuombana hapana!
 
Actually studies zimeeleza kabisa wanaume wanapenda mwanamke mwenye uwezo wa ku offer zaidi ya sex.

Wanaume wanapenda mwanamke mwenye akili , mwenyee yuko na financial freedom.

Wanaume wanaume wanapenda mwanamke ambae anaweza kujisimamia na kiendesha maisha yake bila utegemezi Kwa Mwanaume.
 
Awareness imeanza kuongezeka kwenye jamii siku hizi.

Kweli mjinga akielevuka mwerevu huwa mashakani.

Na ujinga huwa wakati wa kwenda kurudi werevu.

Na wajinga ndio waliwao.

Wadangaji wale formal na informal wana hali imekuwa ngumu sana ,

Wanasema wanaume wamekuwa wagumu kukata [emoji389][emoji384][emoji383][emoji385][emoji387]

Wengine wanafikiria kurudi kijijini kuanza maisha kama enzi za anko Maguu.

Maana wamechoka!

Halafu kumbe watu wanoji-bleach wakikosa hela ya mkorogo na kula kwa mashaka hujichokea
Haraka sana!
 
UTATU MTAKATIFU WA MUNGU NI:
1.MUMBU BABA
2.MUNGU MWANA/YESU KRISTO
3.ROHO MTAKATIFU

UTATU WA SHETANI:
1.PESA
2.MADARAKA
3.MWANAMKE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ