Wanawake Hawapendi nini?

.....principles za mwanamke zinabaki pale pale ukiwa alosto hakutaki......ukimwambia ukweli unakula buti....that's all

Mwanamke anakwambia amechoka kupanda daladala anataka ka starlet na wewe ndo hivyo tena ukiangalia mwanamke kiwango mpaka TBS wanaheshimu......duh inabidi umfunge kamba tu muendelee kuishi la sivyo mapedeshee watakupora tu.
 
AKITAKA NINI SASA?sio kweli kwamba hawataki kusikia umechoka!NAPINGA HILO.....!wanawake wanajua sana kujali na kumpa mtu courage hasa akichoka

Na wewe dgeouff . Hadi nikuambie akitaka nini so openly. Sawa mama . Akitaka coni yake.
 
Mwanamke anakwambia amechoka kupanda daladala anataka ka starlet na wewe ndo hivyo tena ukiangalia mwanamke kiwango mpaka TBS wanaheshimu......duh inabidi umfunge kamba tu muendelee kuishi la sivyo mapedeshee watakupora tu.
Kupitia utandawazi twaweza kupanda ngazi ila sio maungo yake yote kuyaaacha wazi.......
 
aa wapi ukiona mwanamke anapenda hela yako ujue ndivyo ulivyomzoeza wewe mwenyewe kuanzia mwanzo.

kikubwa zaidi ni heshima na upendo, sidhani kama kuna cha zaidi, kama ni hela siku wanawake tunafanya kazi na vipato vizuri. Sioni kwa nini ukazie eti wanawake tuko kwa ajili ya hela.
 
aa wapi ukiona mwanamke anapenda hela yako ujue ndivyo ulivyomzoeza wewe mwenyewe kuanzia mwanzo.

Mkono mtupu haulambwi.....na siku zote mapenzi ni pesa hivyo huwezi kusema mwanamke hapendi hela.
 
...sijafanya bado ujinga huo! Mtu nishamuweka ndani bado tu niendelee kuomba omba na kubembeleza hata vilivyo 'halali yangu'... No way bana!

Tehe, tehe, tehe, koooh! Kuku wako mwenyewe, ya nini kumshikia manati? Si umsubiri tu jioni ataingia bandani mwenyewe na utamkamata kiupooooole!
 
Tehe, tehe, tehe, koooh! Kuku wako mwenyewe, ya nini kumshikia manati? Si umsubiri tu jioni ataingia bandani mwenyewe na utamkamata kiupooooole!

Mkuu ukitaka kumchinja mchana si inabidi ukusanye mbio....za sakafuni ili umkamate na kumchinja.
 
Pesa tu kwanza..angalia yule wa BoT aliwapata mamis kirahisi sana!

Pesa sabuni ya roho!

Mapenzi Bongo ni pesa!

Hakuna pesa hamna mapenzi ya kweli!
 
Hawapendi uchache. yaani usiwe broke,

Kumbe wanaume wanapenda wake zao wakiwa "broke", ila wanawake ndio hawapendi waume zao wakiwa hivyo -- na kwahiyo ni sifa ya wanawake tu kuwa hivyo!

pili hawataki kusikia umechoka, akitaka we lazima umpe stahili yake.

Wanaume huwa "wanachoka" wakifika kwa wake zao kwa sababu wanakuwa wameshapata "stahili" zao kwingine.

Tatu usimsifie demu mwingine.

Kumbe mwanamke akimsifu mwanaume mwingine mbele ya mumewe ni poa tu! Sasa hawa wanaocharangwa mapanga kila kukicha kwa sababu tu ya wivu ...?!

Ni hayo tu MATATU. mengine yoote ni mbwembwe tu.

Kumbe hatuna matatizo. Mambo matatu tu!

Hebu leteni yale wasiyoyapenda wanawake tu, na sio ya jinsia zote mbili. If both are bad, neither is good.
 
Mwanamke hapendi umwambie ukweli.........ukisema ukweli tu juu yake umemkosa.
Mwanamke ni mtu wa kupendwa kudanganywa kama mtoto mdogo.......hapo sawa.

Sema baadhi ya wanawake, kama ilivyo baadhi ya wanaume.
 
Sema baadhi ya wanawake, kama ilivyo baadhi ya wanaume.

Wanawake wote ni dhaifu na wakudanganyika.
Mwanamke hakubali bila kudanganywa hili lipo wazi....nikitaka mwanamke lazima nifunge kamba kibao ili nipate roho inapenda.
 
...sijafanya bado ujinga huo! Mtu nishamuweka ndani bado tu niendelee kuomba omba na kubembeleza hata vilivyo 'halali yangu'... No way bana!

wewe vya halali gani, you might wantto re-negotiate access depending on your most recent behaviour!!!!! wachana na mambo ya halali...ahahahhaha
 
Mkuu akikunyima je utafanyaje?
Wakati ni haki yako ya msingi upate hata kutwa mara 3.

...'mama ntilie' si wapo! ...ya nini kutesana bana.
 
wewe vya halali gani, you might wantto re-negotiate access depending on your most recent behaviour!!!!! wachana na mambo ya halali...ahahahhaha

...'habibti' naweeeeeeeeee, you are sooo 'picky', mid-life crisis inasumbua!
 
wanawake hawapendi kutosikilizwa na kunyanyaswa. wanapenda kubembelezwa,kujaliwa na kuridhishwa katika mapenzi. mwanamke anapenda kufikishwa kileleni tu.
 
Hawapendi uchache. yaani usiwe broke, pili hawataki kusikia umechoka, akitaka we lazima umpe stahili yake. Tatu usimsifie demu mwingine . Ni hayo tu MATATU.

mengine yoote ni mbwembwe tu.

WANAJAMII WANAWAKE,
Wanajamii wanawake mnasemaje kuhusu ninyi wenyewe?
Lengo la mada hii ni kuboresha mahusiano kati yetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…