Ili kuboresha mahusiano kati ya wanawake na wanaume, na wanawake kwa wanawake wenzao;tukumbushane mambo gani ambayo wanawake hawapendi. 1, 2, 3, ........
nani kakudanganya? kuolewa wala hakuna dili, cha muhimu upate mtu anayekujali, kukuheshimu, kukupenda kwa dhati, anayekuhurumia, anayekufikisha panapo.Kuolewa saaaaaaaaaaaaaaana
Yani ukimwambia utamuoa bichwa linakua kuuuuuuubwa kweli
Hata wanaume siku hizi wanapenda wasichana wenye pesa.Mkono mtupu haulambwi.....na siku zote mapenzi ni pesa hivyo huwezi kusema mwanamke hapendi hela.
Hata wanaume siku hizi wanapenda wasichana wenye pesa.
.....................
-Huduma nusu nusu.
Hapa tuangalie pande zote sio wanawake tu. Kuhusu wanawake hawafuati pesa kwa mwanaume bali wanataka pendo la dhati, hata kama wapo ni wachache, na wanaume vile vile wapo wanaopenda mwanamke mwenye kipato nao ni wachache. Hivyo pande zote mbili baadhi wanapenda pesa.Pretty,
Unamaanisha unakubali kuwa wanawake hufuata pesa katika mahusiano na wanaume sio?
Tuangalie upande huo kwanza.
-Kumsifia au kumwangalia mwanamke mwingine kupita kiasi ukiwa nae.
-Kupangua nyumba-yaani yeye amepanga vitu vizuri wewe ukirudi mara soksi kwenye friji au kiatu chini ya kochi.
-Huduma nusu nusu.
-Kumwona mwandani wake akiwa na mawazo au shida fulani,wana support ya hali ya juu.
OK got big assignment hapa! have to do my homework seriously!
labda tukuulize kwamba Enock ni mwano wa kwanza au kitinda????- tIGO?
najua wanawake hawapendi
1. kupuuzwa.
2. kupigwa
3. kupigwa chabo wakiwa bafuni wanaoga,
4. kutawaliwa
5. mtu anayemaliza mapema
6. mtu anayepiga moja moja
7. wazee
8. kutoka nje peke yao usiku
9. mtu asiye mmbeya
hehehehe
Mwanamke anapenda:
1.Mtu anaye jua ni wake peke yake na hahitaji kuwa roho juu kila akiwa mbali na upeo waa macho yake.
2.Mtu anaye mheshimu na siyo kumfanya kama mali yake
3.Mtu anaye ongea kwa upole na kum sikiliza pia kumuomba ushauri na siyo dikteta
4.Mtu ambae ana shukurani na vitu anavyo mfanyia na kutoa asante siyo kuona kila kitu halali yake tu ili mradi
5.Mtu ambae ata hangaika kumuonyesha mapenzi ya dhati siku zote na siyo kuacha kum fanyia vitu ili mradi kashakua wako
*Mwanamke hapendi pesa aki kupendea pesa basi ujue haja kupenda wewe. Kuna tofauti ya kupenda na "friends for benefit". Wanaume wangapi wako na mwanamke kwa ajili ya ngono tu lakini hawawapendi? Mwanamke akikupenda kwa dhati amekupendea wewe otherwise jua haja kupenda.
*Mwanamke ana mapenzi ya kweli, akisha kupenda kakupenda wewe.
Mwanamke hapendi:
1.Mtu mwenywe majivuno na kumlaghai kwa pesa. Ukiona mwanamke ana shobokea pesa na umaarufu jua wanawake wote siyo hivyo na ni hao wachache wanao haribu majina ya wanawake wa kweli.
2.Mtu ambaye hataonyesha mapenzi yake kwa yeye mbele za watu na kutaka kuficha ficha.
3.Mwanaume anaye jiona ana haki juu yake kisa tu yeye ni mwanaume. Inshort equality siyo mfumo dume.
4.Mtu muongo. Ukimdanganya mwanamke na aka gundua ndiyo utaelewa hichi.
5.Mtu asiye jali hisia zake
Haya ni machache tu ambayo nime jifunza kutoka kwa girlfriend wangu. Utasema tu haujui mwanamke anataka nini kama haumsikilizi. Take time kumjua mwanamke wako na siyo kuconcentrate tu kwenye kutaka kumvua nguo. WOMEN CAN REALLY LOVE & IF YOU TREAT THEM RIGHT THEY WILL REPAY YOU TEN FOLD.
I love my girlfriend & I know hanipendei pesa, hapendi kudanganywa na yes ana penda kusifiwa mara kwa mara(kwani nani asiye penda kupewa sifa). Hapendi maisha ya juu na ameridhika na mimi kama nilivyo. Yeye anacho jali is the I treat her the way a woman needs to be treated & I stay faithful to her.
*Kwa wale wenye wanawake ambao tabia zao za ajabu wamezitaja huko nyuma nawashauri waangalie ni wanawake wa aina gani wana tongoza. Kumbukeni you can't find gold in a pile of trash.
Mwanafalsafa.
Kwa sehemu kubwa ndivyotulivyo.
Lakini kumbe hamtujui kabisa.
...sijafanya bado ujinga huo! Mtu nishamuweka ndani bado tu niendelee kuomba omba na kubembeleza hata vilivyo 'halali yangu'... No way bana!
Sasa hivyo vyako unataka kuchukua kwa nguvu Mbu!? Hivyo vyako ambavyo hutaki kubembeleza na kuomba omba kwa sababu ni 'halali yako' ni vipi!? π Kama ndiyo hivyo ninavyodhani basi ukichukua kwa nguvu hiyo inaitwa rape na mama akiamua kukushtaki basi unaweza kuwekwa mahali ambapo hustahili kuwepo. Hivyo vitu unaweza kupata bila matatizo yoyote kama unaonyesha upendo wa dhati, unamuheshimu huyo uliyemuweka ndani na kuhakikisha anakuwa happy kila siku iendayo kwa mungu π ukiweza hayo basi hivyo vilivyo vyako vinaweza kuwa halali karibu kila siku kama pumzi na ubavu vitakuruhusu π