Mwanamke anapenda:
1.Mtu anaye jua ni wake peke yake na hahitaji kuwa roho juu kila akiwa mbali na upeo waa macho yake.
2.Mtu anaye mheshimu na siyo kumfanya kama mali yake
3.Mtu anaye ongea kwa upole na kum sikiliza pia kumuomba ushauri na siyo dikteta
4.Mtu ambae ana shukurani na vitu anavyo mfanyia na kutoa asante siyo kuona kila kitu halali yake tu ili mradi
5.Mtu ambae ata hangaika kumuonyesha mapenzi ya dhati siku zote na siyo kuacha kum fanyia vitu ili mradi kashakua wako
*Mwanamke hapendi pesa aki kupendea pesa basi ujue haja kupenda wewe. Kuna tofauti ya kupenda na "friends for benefit". Wanaume wangapi wako na mwanamke kwa ajili ya ngono tu lakini hawawapendi? Mwanamke akikupenda kwa dhati amekupendea wewe otherwise jua haja kupenda.
*Mwanamke ana mapenzi ya kweli, akisha kupenda kakupenda wewe.
Mwanamke hapendi:
1.Mtu mwenywe majivuno na kumlaghai kwa pesa. Ukiona mwanamke ana shobokea pesa na umaarufu jua wanawake wote siyo hivyo na ni hao wachache wanao haribu majina ya wanawake wa kweli.
2.Mtu ambaye hataonyesha mapenzi yake kwa yeye mbele za watu na kutaka kuficha ficha.
3.Mwanaume anaye jiona ana haki juu yake kisa tu yeye ni mwanaume. Inshort equality siyo mfumo dume.
4.Mtu muongo. Ukimdanganya mwanamke na aka gundua ndiyo utaelewa hichi.
5.Mtu asiye jali hisia zake
Haya ni machache tu ambayo nime jifunza kutoka kwa girlfriend wangu. Utasema tu haujui mwanamke anataka nini kama haumsikilizi. Take time kumjua mwanamke wako na siyo kuconcentrate tu kwenye kutaka kumvua nguo. WOMEN CAN REALLY LOVE & IF YOU TREAT THEM RIGHT THEY WILL REPAY YOU TEN FOLD.
I love my girlfriend & I know hanipendei pesa, hapendi kudanganywa na yes ana penda kusifiwa mara kwa mara(kwani nani asiye penda kupewa sifa). Hapendi maisha ya juu na ameridhika na mimi kama nilivyo. Yeye anacho jali is the I treat her the way a woman needs to be treated & I stay faithful to her.
*Kwa wale wenye wanawake ambao tabia zao za ajabu wamezitaja huko nyuma nawashauri waangalie ni wanawake wa aina gani wana tongoza. Kumbukeni you can't find gold in a pile of trash.