Jamani FIDE,
Mwanamke aweza kumchuna mumewe kweli?
Msitusingizie bwana.
Kweli Idda yaani mwanamke anamchuna mzee hivihivi unajua mnachuna naje?
Unasingizia matumizi kibao ambayo si kweli mala ooh gesi imekwisha kumbe si kweli mala ooh mtoto anaumwa kumbe si kweli si unamchuna mzee bila sababu ya msingi hapo.Yaani unamkamua kisawasawa.
Pretty, Kelly, WOS, PENNY, NEEMAH,JOYCELINE,CAROLINE,
EMMA,Nyamungo,Bellinda,
Leteni busara zenu.
Wanawake huchuna waume zao kweli?
Pretty, Kelly, WOS, PENNY, NEEMAH,JOYCELINE,CAROLINE,
EMMA,Nyamungo,Bellinda,
Leteni busara zenu.
Wanawake huchuna waume zao kweli?
Kudhulumiwa kwa sababu ya jinsia yao.
Wanawake tunapendwa "kupendwa", kuheshimiwa, mwanamme ukija nyumbani ule chakula cha nyumbani, unipe password ya bank account, tukiwa kwenye gari tuwe tunacheka sio unanuna kama umekamuliwa jipu, na mwisho kabisa uhakikishe kwamba tunapokuwa kwenye kipindi cha shughuli uwe una utundu wa "click" command ambazo ni active
Si rahisi kujua nini wanawake wanapenda ndo maana katika msahafu wa kikristo kuna sehemu imeandikwa......muishi na mwanamke kwa hekima.......hekima yako ndiyo itakujulisha nini anapenda nini hapendi
Ukitaka kupata undani wa hili, acheni uvivu wa kusoma biblia. someni Mithali 31 yote utaelewa nini mwanamke amfanyie mwanaume. Mara zote sitaki kupoteza maana ya thread, mwanamke akishakuwa makini kwenye kuhandle mambo ya ndani ujue mwanaume atafuta tu.
Tumia maneno matamu kutoka kwenye biblia au msahafu kuongoza safari katika maisha ya ndoa, urafiki. Tukianza hapa kuambizana eti tukachezwe ngoma uzeeni wanaume wanapenda mambo ya kitandani, starehe, etc tunadanganyana.
Si rahisi kujua nini wanawake wanapenda ndo maana katika msahafu wa kikristo kuna sehemu imeandikwa......muishi na mwanamke kwa hekima.......hekima yako ndiyo itakujulisha nini anapenda nini hapendi
ili kuboresha mahusiano kati ya wanawake na wanaume, na wanawake kwa wanawake wenzao;tukumbushane mambo gani ambayo wanawake hawapendi. 1, 2, 3, ........
Ili kuboresha mahusiano kati ya wanawake na wanaume, na wanawake kwa wanawake wenzao;tukumbushane mambo gani ambayo wanawake hawapendi. 1, 2, 3, ........
Umesikika first lady.Hatupendi kudanganywa ..mala nilikuwa semina kumbe nyumba ndogo
mala nina emergency kazi nitachelewa ..kumbe .........