Wanawake Hawapendi nini?

Wanawake Hawapendi nini?

Jamani FIDE,
Mwanamke aweza kumchuna mumewe kweli?
Msitusingizie bwana.

Kweli Idda yaani mwanamke anamchuna mzee hivihivi unajua mnachuna naje?
Unasingizia matumizi kibao ambayo si kweli mala ooh gesi imekwisha kumbe si kweli mala ooh mtoto anaumwa kumbe si kweli si unamchuna mzee bila sababu ya msingi hapo.Yaani unamkamua kisawasawa.
 
Pretty, Kelly, WOS, PENNY, NEEMAH,JOYCELINE,CAROLINE,
EMMA,Nyamungo,Bellinda,
Leteni busara zenu.
Wanawake huchuna waume zao kweli?
 
Watakanusha hao hapo juu lakini akija Nyamayao atakubali wanawake wanawachuna waume zao.
 
Pretty, Kelly, WOS, PENNY, NEEMAH,JOYCELINE,CAROLINE,
EMMA,Nyamungo,Bellinda,
Leteni busara zenu.
Wanawake huchuna waume zao kweli?

Fidel,
Hawa wamegoma kujibu.
Labda ni kweli.
 
wanapenda mpenzi ya kweli kwel,unampatia mpaka kileleni.unajitokeza katika shida na raha wakati wote.anapenda umpatie nafasi ya huru katika mahamuzi wakati mwengine....
 
Wanawake tunapendwa "kupendwa", kuheshimiwa, mwanamme ukija nyumbani ule chakula cha nyumbani, unipe password ya bank account, tukiwa kwenye gari tuwe tunacheka sio unanuna kama umekamuliwa jipu, na mwisho kabisa uhakikishe kwamba tunapokuwa kwenye kipindi cha shughuli uwe una utundu wa "click" command ambazo ni active

Hiyo p'word ya bank account ndio problem. Kabla yako hujaitoa unaanza na yangu? LOL.
 
Ukitaka kupata undani wa hili, acheni uvivu wa kusoma biblia. someni Mithali 31 yote utaelewa nini mwanamke amfanyie mwanaume. Mara zote sitaki kupoteza maana ya thread, mwanamke akishakuwa makini kwenye kuhandle mambo ya ndani ujue mwanaume atafuta tu.

Tumia maneno matamu kutoka kwenye biblia au msahafu kuongoza safari katika maisha ya ndoa, urafiki. Tukianza hapa kuambizana eti tukachezwe ngoma uzeeni wanaume wanapenda mambo ya kitandani, starehe, etc tunadanganyana.
 
Si rahisi kujua nini wanawake wanapenda ndo maana katika msahafu wa kikristo kuna sehemu imeandikwa......muishi na mwanamke kwa hekima.......hekima yako ndiyo itakujulisha nini anapenda nini hapendi
 
KUishi kwa Hekima na Mtu inamaana haeleweki?
Neno hili ni la kweli?
 
Ukitaka kupata undani wa hili, acheni uvivu wa kusoma biblia. someni Mithali 31 yote utaelewa nini mwanamke amfanyie mwanaume. Mara zote sitaki kupoteza maana ya thread, mwanamke akishakuwa makini kwenye kuhandle mambo ya ndani ujue mwanaume atafuta tu.

Tumia maneno matamu kutoka kwenye biblia au msahafu kuongoza safari katika maisha ya ndoa, urafiki. Tukianza hapa kuambizana eti tukachezwe ngoma uzeeni wanaume wanapenda mambo ya kitandani, starehe, etc tunadanganyana.

U have hit it on the head!
THANK U!
 
Si rahisi kujua nini wanawake wanapenda ndo maana katika msahafu wa kikristo kuna sehemu imeandikwa......muishi na mwanamke kwa hekima.......hekima yako ndiyo itakujulisha nini anapenda nini hapendi

Hivi wakristo wana msahafu?
 
ili kuboresha mahusiano kati ya wanawake na wanaume, na wanawake kwa wanawake wenzao;tukumbushane mambo gani ambayo wanawake hawapendi. 1, 2, 3, ........

wasichokipenda kutendewa wanaume na wanawake hawapendi kutendewa hivo....
 
Ili kuboresha mahusiano kati ya wanawake na wanaume, na wanawake kwa wanawake wenzao;tukumbushane mambo gani ambayo wanawake hawapendi. 1, 2, 3, ........

kwa nyongeza sililiza wimbo wa Jaffarai...'unapenda nin?'
 
Hatupendi kudanganywa ..mala nilikuwa semina kumbe nyumba ndogo
mala nina emergency kazi nitachelewa ..kumbe .........
 
Umesikika first lady.
Kuna mchangiaji alisema kuwa eti wanawake hawapendi kuambiwa ukweli.
 
Back
Top Bottom