Wanawake hawapendi ujinga

Wanawake hawapendi ujinga

Joined
Oct 9, 2017
Posts
23
Reaction score
48
[emoji85][emoji85][emoji85]

*Mtu pekee ambaye mwanamke anaweza kumsikiliza kwa makini na akamuelewa akafanya vile hasa inavyotakiana ni* *MPIGA PICHA* tu. [emoji16][emoji16][emoji16]
*Vinginevyo kuwa mpole tu ndugu yangu.*
[emoji177][emoji177]
 
Kesho nanunua Camera na naanza na..... Yule wa ma-G.P.A makubwa kubwa.
 
Back
Top Bottom