Wanawake hebu fungukeni hapa mnaangaliaga nini sana sana?

Wanawake hebu fungukeni hapa mnaangaliaga nini sana sana?

hili swali kuna demu nilimuuliza alichonijibu niliwaza mengi sana kuhusu hawa viumbe

jibu alilonipa eti kitu cha kwanza anaangalia vidole vya miguu vya men nikamuuliza kwa nini akanijibu eti huwa vinaendana na mashine ya muhusika nikaamini kuwasoma awa ni kazi pevu
Anakuvua viatu ama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shoes
Belt
Watch
Kempt hair
Nails
But before I analyse all that, a man's gotta be dark, have some flesh and inches in height too.
Unaweza kunisaidia ukarudia kuandika kwa lugha ya Taifa?
 
Back
Top Bottom