Wanawake hebu fungukeni hapa mnaangaliaga nini sana sana?

Wanawake hebu fungukeni hapa mnaangaliaga nini sana sana?

Basi u mtoto mzuri[emoji23][emoji23]hebu tuone vidole vya mikono kwanza[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Kwani ww ni mwanaume?

Kama sio kwann umetumia Emoji hizi [emoji125] [emoji125]

Badala ya kutumia hizi za kike?[emoji126] [emoji126] [emoji126]
 
Back
Top Bottom