Wanawake hebu nipeni majibu...

Utamboaje mtu ambae huna mazoea nae zaid ya salam tu??
Hivi ni kwa nini kwa mara ya kwanza ukimzoea msichana na kuwa naye karibu, halafu usimtongoze, ikipita muda fulani anakuchukia hata kama hamna uadui? Nini tatizo?


Hueleweki mbona????
Umesema umemzoea na kuwa nae karibu, mara hauna mazoea zaidi ya salamu....bwana weee kwaheri!!!!!
 
Mkuu, kuwaelewa wanawake ni somo pana sana.
Unachodhani anataka, hakitaki!
Unachodhani hataki, ndicho anataka!
 
Nawakumbusha tu wanaume wenzangu,
Hili Swali Wameulizwa Wanawake.
 
Kutongozwa ni kama Job interview kwao...

Ila mkuu kuwa mpole achana nae tu,,, tafuta hela acha kuwaza urafiki usio na maana... Labda kama alikuwa anakupa michongo na deals mbali mbali.
 
Sina mazoea naye makubwa, ni ya salamu tu! Ni lazim tu alitka nimtongoze yaan
 
Hivi ni kwa nini kwa mara ya kwanza ukimzoea msichana na kuwa naye karibu, halafu usimtongoze, ikipita muda fulani anakuchukia hata kama hamna uadui? Nini tatizo
Kwanini wanawake tu? Tunaona wivu ase, yan msela mmoja achati na wanawake wote humu. Warembo kama kina Evelyn Salt, Abrianna 😍, nk. Wanaume amkenii njoon tuaribu huu uziπŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…