Enock gabriel
JF-Expert Member
- Apr 26, 2021
- 348
- 321
- Thread starter
- #21
Utamboaje mtu ambae huna mazoea nae zaid ya salam tu??Okay kama wewe waona hivyo haya!!!
Ila mimi sidhani kama ni hicho, lazma umemboa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utamboaje mtu ambae huna mazoea nae zaid ya salam tu??Okay kama wewe waona hivyo haya!!!
Ila mimi sidhani kama ni hicho, lazma umemboa.
Hivi ni kwa nini kwa mara ya kwanza ukimzoea msichana na kuwa naye karibu, halafu usimtongoze, ikipita muda fulani anakuchukia hata kama hamna uadui? Nini tatizo?Utamboaje mtu ambae huna mazoea nae zaid ya salam tu??
😂😂😂😂🙌🏾Umeomba wanawake wakujibu, wote waliojibu huu uzi ni wamama.
Sina mazoea naye makubwa, ni ya salamu tu! Ni lazim tu alitka nimtongoze yaanHivi ni kwa nini kwa mara ya kwanza ukimzoea msichana na kuwa naye karibu, halafu usimtongoze, ikipita muda fulani anakuchukia hata kama hamna uadui? Nini tatizo?
Hueleweki mbona????
Umesema umemzoea na kuwa nae karibu, mara hauna mazoea zaidi ya salamu....bwana weee kwaheri!!!!!
Kwanini wanawake tu? Tunaona wivu ase, yan msela mmoja achati na wanawake wote humu. Warembo kama kina Evelyn Salt, Abrianna 😍, nk. Wanaume amkenii njoon tuaribu huu uzi😂Hivi ni kwa nini kwa mara ya kwanza ukimzoea msichana na kuwa naye karibu, halafu usimtongoze, ikipita muda fulani anakuchukia hata kama hamna uadui? Nini tatizo