Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,601
Nani huyohaya wakaa uchi hao umewaona![]()
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani huyohaya wakaa uchi hao umewaona![]()
Mimi huyo[emoji85]Nani huyo
Ha ha ha...weka ya kibongo bhnaa..unaweka picha ya kidhunguuu hao wanamihela kibaooo hata kuolewa hawaonagi issue ni hapa tu tz!
Tuma ya kibongo ndo ntaamini ni kweli
hili povu kama sio la "mshindi" basi ni la "komoa"Umevaa suruali imekubana na kuyachora maungo yako yote, halafu imechanwa chanwa mapajani kwa mbele, maungo yako yanaonekana na kila mtu.
Unakutana na rafiki yako anakuuliza kama umeolewa nawe bila haya unasema "niolewe na nani shosti, wanaume wenyewe matapeli tu"
We unadhani kuna mwanaume mwehu mpenda laana, wa kukuoa wewe, uje kumletea laana kwenye ukoo wake, mwishowe aje azae watoto wehu[emoji23]
When I was growing up, two of my brothers had two remarkable girlfriends. One was called Martha and the other Gwendoline. Martha was pretty, clean and humble while Gwendoline who was the senior prefect of her school was very intelligent and pretty too. Whenever one of these girls were to visit, there will be general sanitation.Umevaa suruali imekubana na kuyachora maungo yako yote, halafu imechanwa chanwa mapajani kwa mbele, maungo yako yanaonekana na kila mtu.
Unakutana na rafiki yako anakuuliza kama umeolewa nawe bila haya unasema "niolewe na nani shosti, wanaume wenyewe matapeli tu"
We unadhani kuna mwanaume mwehu mpenda laana, wa kukuoa wewe, uje kumletea laana kwenye ukoo wake, mwishowe aje azae watoto wehu[emoji23]
huyu mi asha boko au?View attachment 496162
Mbona akina kaundime wanajihifadhi vizuri tu......[emoji39] [emoji39] [emoji39]
Ahsante Chief hawa viumbe wanatutafutia balaa, hebu watuhurumie wakati nwingine!Utapofuka mkuu......
Haya mambo wanayaweza vijana wa kizazi cha wakati wa vidonge na sindano
Bora huyo anatafuta rizikiKama huyu....[emoji15] [emoji15] View attachment 496161
Duuuuuu hawa maafande nao wanasisimua sanaView attachment 496162
Mbona akina kaundime wanajihifadhi vizuri tu......[emoji39] [emoji39] [emoji39]
Wasipoambiwa mwisho watavua kabisa!Em waache tena mkuu maana hii mara ya pili bango hili linaletwa/unalileta.
Kwani huyo ni mzungu?weka ya kibongo bhnaa..unaweka picha ya kidhunguuu hao wanamihela kibaooo hata kuolewa hawaonagi issue ni hapa tu tz!
Tuma ya kibongo ndo ntaamini ni kweli