Wanawake: Hivi ni kweli huwa hamsamehi?

Wanawake: Hivi ni kweli huwa hamsamehi?

Manyanza

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
16,464
Reaction score
35,629
Wasalaam wakuu

Kama kichwa cha huu uzi kinavyojieleza, Hivi ni kweli Wanawake huwa hamsamehi?

Yaani hata mkiombwa msamaha mtakubali tu lakini moyoni mnakuwa mmelihifadhi tu hilo tukio/kosa?

Sio kwenye makosa ya usaliti na wenzi wenu au Watu wenu wa karibu, ndugu, shoga zenu n.k

Ila nimegusia msamaha kwa kila kosa mnalofanyiwa, Na watu mbalimbali iwe ni sehemu za kazi, majumbani au hata kwenye makusanyiko ya mara kwa mara ni kweli huwa hamsamehi ila huwa mnafanya kama kupotezea tu ila hata mtu huyo huyo akikukosea kwa kosa jingine bado utakumbusha hata lile kosa ambalo ulisema umemsamehe baada ya kukuomba msamaha.

Naomba mtueleze ukweli ili na sisi tujifunze namna bora ili tupate uzoefu wa kukwepa kuwakosea makosa makubwa makubwa, japo hakuna Binadamu asiye kosea.

Hata Mwanaume unaweza kuchangia pia mawazo.

Nawasilisha
 
Wanyakyusa
Wakurya
Wasukuma
Wadigo
Wasambaa
Wamakonde
Wanyiramba
Wanyambo
Wakinga
Wapare
Waarusha
Wameru
Kuna mmoja yule kisabengo sijui kabila lake ni wamefuzu mafunzo ya kununa na kuleta dharau za ajabu uduwanzi uduwanzi tu

List ni ndefu sana kidooogo kidogo sana Wabondei hawa naona waliumbwa na udongo wa tofauti ingawa na wenyewe mpaka wawe impressed ile sana ndio wanasamehe sio wanapotezea
 
Wasalaam wakuu

Kama kichwa cha huu uzi kinavyojieleza, Hivi ni kweli Wanawake huwa hamsamehi?

Yaani hata mkiombwa msamaha mtakubali tu lakini moyoni mnakuwa mmelihifadhi tu hilo tukio/kosa?

Sio kwenye makosa ya usaliti na wenzi wenu au Watu wenu wa karibu, ndugu, shoga zenu n.k

Ila nimegusia msamaha kwa kila kosa mnalofanyiwa, Na watu mbalimbali iwe ni sehemu za kazi, majumbani au hata kwenye makusanyiko ya mara kwa mara ni kweli huwa hamsamehi ila huwa mnafanya kama kupotezea tu ila hata mtu huyo huyo akikukosea kwa kosa jingine bado utakumbusha hata lile kosa ambalo ulisema umemsamehe baada ya kukuomba msamaha.

Naomba mtueleze ukweli ili na sisi tujifunze namna bora ili tupate uzoefu wa kukwepa kuwakosea makosa makubwa makubwa, japo hakuna Binadamu asiye kosea.

Hata Mwanaume unaweza kuchangia pia mawazo.

Nawasilisha
Vice versa its true.

Ambaye hasamei ni Mwanamme ila weakness yake ni kwamba anasahau.

Weakness ya mwanamke ni kwamba anasamehe ila strength yake ni kwamba huwa hasahau.

Mwanamke anasamehe ila hasahau.

Mwanamme hasamei ila anasahau.
 
Back
Top Bottom