Hata kwenye mazingira ya kawaida nakumbuka kipind Cha miak 14 hiv Ile teenager Kuna rafikiyangu pia jirani yetu tulikosana akawa anaongea ongea nikasamehe mara pili Tena ya Tatu ikawa kawaida, anataka tugombane napotezea namkwepa tunaendelea kuzungumza
Siku alisema neno baya ndo siku niliyo choka alisalimia skumjibu ndio ikawa bas miak mitatu ilipita tunaishi jiran na tunaonana kilasiku na simseshi na akinisemesha sijibu 😀 had wamama pale mtaani wakaingilia akaja kuniomba msamaha lkn wapi 😀 😀 😀
Manyanza