Wanawake: Hivi ni kweli huwa hamsamehi?

Wanawake: Hivi ni kweli huwa hamsamehi?

Vice versa its true.

Ambaye hasamei ni Mwanamme ila weakness yake ni kwamba anasahau.

Weakness ya mwanamke ni kwamba anasamehe ila strength yake ni kwamba huwa hasahau.
Kumuongopee mumeo Mwanamke ni kisirani tu Jambo hilo hilo analishikia bango hata miaka 20 jambo hilo hilo
 
Wanawake tunasamehe ila hatusahau kirahisi

Kwa upande wangu Huwa mpotezeaji sinaga hasira za ovyo nasamehe sana Tena sana na Sina tabia ya kuhesabu makosa ya mtu ila shida ni moja nikisema inatosha Huwa siwez Tena kurudi nyuma Yani iyo kitu haiwezekani hata uniombe msamaha Dunia yote ijue siwezag kurudi nyuma
Sasa sijui nipo kundi gani 😀
 
Hata kwenye mazingira ya kawaida nakumbuka kipind Cha miak 14 hiv Ile teenager Kuna rafikiyangu pia jirani yetu tulikosana akawa anaongea ongea nikasamehe mara pili Tena ya Tatu ikawa kawaida, anataka tugombane napotezea namkwepa tunaendelea kuzungumza
Siku alisema neno baya ndo siku niliyo choka alisalimia skumjibu ndio ikawa bas miak mitatu ilipita tunaishi jiran na tunaonana kilasiku na simseshi na akinisemesha sijibu 😀 had wamama pale mtaani wakaingilia akaja kuniomba msamaha lkn wapi 😀 😀 😀
Manyanza
 
😃😃😃
Nitarejea Miss Aaliyyah sina chaji hapa
 
Ninasamehe ila kusahau hilo sahau. Nitakumbuka kosa lako la kwanza kunifanyia, miaka 10 naa iliyopita. Ukijikanyaga tena nakukumbushia hilo la miaka 10 😅😅😅😅😅
 
Huyo hafai endelea kum ignore tena Block mazima, Aisee haina ulazima wa kuendelea kuwa na ukaribu naye.
 
Ninasamehe ila kusahau hilo sahau. Nitakumbuka kosa lako la kwanza kunifanyia, miaka 10 naa iliyopita. Ukijikanyaga tena nakukumbushia hilo la miaka 10 😅😅😅😅😅
😅😅😅
Mimi huwa nakosewa sana na watu na akiniomba msamaha huwa namweleza kwa uthabiti sana aisee, umenikosea hili je una jingine ulishawahi kunifanyia kwa siri ? Nieleze kabisa ili nikusamehe mazima
 
Wanawake tunasamehe ila hatusahau kirahisi

Kwa upande wangu Huwa mpotezeaji sinaga hasira za ovyo nasamehe sana Tena sana na Sina tabia ya kuhesabu makosa ya mtu ila shida ni moja nikisema inatosha Huwa siwez Tena kurudi nyuma Yani iyo kitu haiwezekani hata uniombe msamaha Dunia yote ijue siwezag kurudi nyuma
Sasa sijui nipo kundi gani 😀
Una imani, huruma, mpole sana kwahiyo inavyotokea umevunjika moyo kutokana na kero mbalimbali za Waja. Moyo wako unakuwa ni mgumu sana kupona.
You trust people easily
 
Mimi nachelewa sana kukasirika ila nikikasirika kweli huwa sitoi msamaha kabisa.
 
Msamaha haimaanishi wanawake tu,ila ni jinsia zote msamaha,ni muhimu sana,hii siyo kwa sababu ni faida ya aliekukosea bali ni faida yako wewe mwenyewe kutua mizigo isiyolipia nauli katika mawazo na moyo wako,ukiweza kusamehe makosa unayofanyiwa kila wakati,ni rahisi kusonga mbele ukiwa mwepesi na ufanisi wa hali ya juu. Mtu anaesamehe kila wakati ana amani moyoni mwake.
 
Kuna demu nilikuwa nae shule ya msingi nilikutana naye kwenye kundi la watsapp baada ya miaka 20+ eti bado anakumbushia nilimsaliti halafu alikuwa ananirushia vijembe kiaina baada ya kujua nipo kwenye uchumi wa daraja la chini halafu ana namna kajipata , hao huwa hawasahau🐒
 
Back
Top Bottom