Manyanza
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 16,464
- 35,629
Wasalaam wakuu
Kama kichwa cha huu uzi kinavyojieleza, Hivi ni kweli Wanawake huwa hamsamehi?
Yaani hata mkiombwa msamaha mtakubali tu lakini moyoni mnakuwa mmelihifadhi tu hilo tukio/kosa?
Sio kwenye makosa ya usaliti na wenzi wenu au Watu wenu wa karibu, ndugu, shoga zenu n.k
Ila nimegusia msamaha kwa kila kosa mnalofanyiwa, Na watu mbalimbali iwe ni sehemu za kazi, majumbani au hata kwenye makusanyiko ya mara kwa mara ni kweli huwa hamsamehi ila huwa mnafanya kama kupotezea tu ila hata mtu huyo huyo akikukosea kwa kosa jingine bado utakumbusha hata lile kosa ambalo ulisema umemsamehe baada ya kukuomba msamaha.
Naomba mtueleze ukweli ili na sisi tujifunze namna bora ili tupate uzoefu wa kukwepa kuwakosea makosa makubwa makubwa, japo hakuna Binadamu asiye kosea.
Hata Mwanaume unaweza kuchangia pia mawazo.
Nawasilisha