Ligogoma
JF-Expert Member
- Aug 27, 2010
- 3,503
- 6,415
Kabla ya kuwa na mtoto mbwembwe zote za mahaba, romance za kila aina na mapenzi na mitindo motomoto!!! Ama kweli mapenzi mwanana!!
Baada ya miaka kadhaa na mama kujifungua, inapita tena muda mnaanza mapenzi tena lakini loh!! Ukimshika hivi anakwambia hivyo mi staki bwana!!! Staili hiyo siipendi!! Ukijaribu kulamba kule alikokuwa anapenda, anakwambia sitaki!!
Sasa swali ni kwamba huwa wanawake mnakua kila wakati kiasi kwamba mapenzi ya jana unayaona ni ya vijana au ni nini mtujuze???
Nawasilisha