Wanawake hukua zaidi.........!!!!????

Wanawake hukua zaidi.........!!!!????

Ligogoma

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2010
Posts
3,503
Reaction score
6,415
Kabla ya kuwa na mtoto mbwembwe zote za mahaba, romance za kila aina na mapenzi na mitindo motomoto!!! Ama kweli mapenzi mwanana!!

Baada ya miaka kadhaa na mama kujifungua, inapita tena muda mnaanza mapenzi tena lakini loh!! Ukimshika hivi anakwambia hivyo mi staki bwana!!! Staili hiyo siipendi!! Ukijaribu kulamba kule alikokuwa anapenda, anakwambia sitaki!!

Sasa swali ni kwamba huwa wanawake mnakua kila wakati kiasi kwamba mapenzi ya jana unayaona ni ya vijana au ni nini mtujuze???

Nawasilisha
 
Labda umehacha kumsifia jinsi alivyoumbika kwa hiyo anaona amekuwa outdated. Hana confidence na mwili wake. Otherwise wengine pamoja na kujifungua watoto kadhaa kwenye malovedave bado mwendo mdundo.
 
avatar yako inaashiria umeshaacha mikasi sasa unataka tena kujua ikusaidie nini?
 
Kabla ya kuwa na mtoto mbwembwe zote za mahaba, romance za kila aina na mapenzi na mitindo motomoto!!! Ama kweli mapenzi mwanana!!

Baada ya miaka kadhaa na mama kujifungua, inapita tena muda mnaanza mapenzi tena lakini loh!! Ukimshika hivi anakwambia hivyo mi staki bwana!!! Staili hiyo siipendi!! Ukijaribu kulamba kule alikokuwa anapenda, anakwambia sitaki!!

Sasa swali ni kwamba huwa wanawake mnakua kila wakati kiasi kwamba mapenzi ya jana unayaona ni ya vijana au ni nini mtujuze???

Nawasilisha

Kijana Juzi ile thread yako ya mtoto kuchezewa ni kweliiii au ndo hadithi tu.... Maana kama mwanao wa miaka 9 kweli kachezewa na huyo baba jirani na kakuzidi umri, usingekua na nguvu ya kuleta hii thread hapa saizi. Uko kufikiria kitu gani kinamhamasisha mwanamke alozaa na mwanao anataka kubakwa kule....Tafadhali kua serious...
 
Hapa sijaelewa kidogo kwamba kutokupenda staili ya jana ni kukua, inawezekana ulimchosha
 
Mh hapo pagumu mana inategemea na felings za mwanamke zinatofautiana
 
Wanawake cku zote waache waitwe wanawake............ Na ndio inakuwaga among the sources ya sisi vidume kutafuta nyumba ndogo.......
 
Back
Top Bottom