Wanawake hupiga mizinga kwa sababu maalum

suzie _barbie

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2017
Posts
1,523
Reaction score
3,073
Habari zenu,

Wanaume wengi wamekua na tabia ya kulalamika na kupigwa mizinga na wanawake.

Wengine wanalalamika sana eti wanawake wanapenda sana kutangaza shida and blablabla..

Sikiliza bro, mwanamke anaweza kukupiga mzinga na akawa hana shida na hiyo hela but anataka tu kukufukuza so sometimes inabidi ujiongezee.

Wewe kila ukimtafta anakutangazia shida tofauti tofauti hivi kweli unashindwa kujiongeza, unabaki kupeleka mashitaka jf ya kupigwa mizinga[emoji23][emoji23]

Kingine, kama una uhakika mmependana na mwanamke ,wewe usisubiri kuombwa pesa, mtumie tumie pocket money au mfungulie shughuli ya kumpatia kipato then uone kama atakupiga mizinga ya kijinga unless kama unadate ombaomba na mvivu.

Uzi tayari.
 
Habari zenu,

Wanaume wengi wamekua na tabia ya kulalamika na kupigwa mizinga na wanawake.Wengine wanalalamika sana eti wanawake wanapenda sana kutangaza shida and blablabla..

Sikiliza bro, mwanamke anaweza kukupiga mzinga na akawa hana shida na hiyo hela but anataka tu kukufukuza so sometimes inabidi ujiongezee. Wewe kila ukimtafta anakutangazia shida tofauti tofauti hivi kweli unashindwa kujiongeza, unabaki kupeleka mashitaka jf ya kupigwa mizinga[emoji23][emoji23]

Dah hii dunia iko kasi sana
 
Wanawake wanapenda kupokea haijalishi anamshahara au hana.

Tena hao wenye vipato ndio wanapiga mizinga mirefu balaa.

Sio tu kwenye mahusiano hadi kwenye ndoa mizinga ipo, nazungumzia ile ya nje na matumizi ya kawaida ya nyumbani kuna mshkaji wangu namhurumia sana ila ndio hvyo amenasa kuoa jambazi, yaani mke na mume wote wanamishahara lkn anakamuliwa wa kwake wote anakosa hadi nauli.

Mapenzi yana siri nzito siwezi jua wanapanga nn wakiwa ndani ya shuka
 
Kwa wanaume tunaojielewa zaidi kama mm, sisubiri hadi unipigie Kizinga, nikukualika uje ghetto siku chache baada ya mm na ww kufahamiana, hlf ukaanza kunipa majibu haya:

1)uko busy

2)huna muda

3)huwezi kuja

4)Tuonane sehemu ya public (wazi)

5)Unaniambia utakuja Saa na siku flani, then huji hlf, hufanyi reschedule wala kutoa sababu ya maana ya wewe kutofika,
mimi nakupoteza jumla, nafuta mazoea na ww.

Wanaume wenzangu tukumbuke, alpha f*cks, beta bucks suzie _barbie Nuzulati Shunie
 
Kwa wanaume tunaojielewa zaidi kama mm, sisubiri hadi unipigie Kizinga, nikukualika uje ghetto siku chache baada ya mm na ww kufahamiana, hlf ukaanza kunipa majibu haya:
1)uko busy
2)huna muda
3)huwezi kuja
4)Tuonane sehemu ya public (wazi)
5)Unaniambia utakuja Saa na siku flani, then huji hlf, hufanyi reschedule wala kutoa sababu ya maana ya wewe kutofika,
mimi nakupoteza jumla, nafuta mazoea na ww..

Mwanamke anayejielewa anakujaje ghetto kizinga unapigwa ili ujiongeze
 
Wanawake wanapenda kupokea haijalishi anamshahara au hana...
Tena hao wenye vipato ndio wanapiga mizinga mirefu balaa...
Sio tu kwenye mahusiano hadi kwenye ndoa mizinga ipo, nazungumzia ile ya nje na matumizi ya kawaida ya nyumbani kuna mshkaji wangu namhurumia sana ila ndio hvyo amenasa kuoa jambazi, yaani mke na mume wote wanamishahara lkn anakamuliwa wa kwake wote anakosa hadi nauli...
Mapenzi yana siri nzito siwezi jua wanapanga nn wakiwa ndani ya shuka
Alpha f*cks, beta bucks

1)Huyo mke hakuwahi kumpenda mmewe tangu walivotongozana hadi kuoana, mke yuko kimaslahi kwenye ndoa

2)Mke anahis mmewe ana michepuko ndo maana anamchuna hela, mme asipate hela za kuhonga

3)Mke ana roho mbaya na ni mbinafsi, ukute huyo mke ni mchawi au jini kabisa

4) Mke ana matumizi makubwa na mabaya ya hela, and she feels mwanaume ndo mhudumia familia Pharm D
 
Point yaani ukiwacheki demu na mshkaji utahisi ni mtu na houseboy wake hawaendani kabisa...
Demu mkali halaf anabonge la zigo nadhan jamaa akiangalia ule mshepu anajikuta kuvumilia tu
[emoji23][emoji2297]
 
Mwanamke anayejielewa anakujaje ghetto kizinga unapigwa ili ujiongeze

Hahahaha wanawake huwa mnanichekesha sana, mkikutana na wanaume msiowataka mnawawekea sheria kibao, mara oh hutoi papuchi kwenye first date, mara oh hadi uolewe ndio utoe papa, mara huji ghetto, mara oh mfahamiane zaidi, mara unasema unakuja hlf huji, kumzungusha mkaka wa watu weeee etc lakini mkikutana na mwanaume mnaemtamani, ghetto mnaenda wenyewe mapema iwezekanavyo, na sheria zenu mnaziweka pembeni, tena mnalipia kabisa na hela ya bodaboda ili kwenda kupata ukuni wa mwanaume handsome uliekutana nae jana akakualika ghetto kwake leo Nuzulati
 
Unasubiri utongozwe alafu ufunguliwe na biashara?!! huo si ndio u ombaomba wa ki 'Royo'. Cha msingi ni siku ya kwanza tu kutangaza nia either ni 1 Night stand ama 'Kupigana' Ki shkaji tu.
 
Habari zenu,

Wanaume wengi wamekua na tabia ya kulalamika na kupigwa mizinga na wanawake.Wengine wanalalamika sana eti wanawake wanapenda sana kutangaza shida and blablabla..

Sikiliza bro, mwanamke anaweza kukupiga mzinga na akawa hana shida na hiyo hela but anataka tu kukufukuza so sometimes inabidi ujiongezee. Wewe kila ukimtafta anakutangazia shida tofauti tofauti hivi kweli unashindwa kujiongeza, unabaki kupeleka mashitaka jf ya kupigwa mizinga[emoji23][emoji23]

Kingine, kama una uhakika mmependana na mwanamke ,wewe usisubiri kuombwa pesa, mtumie tumie pocket money au mfungulie shughuli ya kumpatia kipato then uone kama atakupiga mizinga ya kijinga unless kama unadate ombaomba na mvivu.

Uzi tayari.
Mwanamke akiniomba mzinga tu, hapo hapo anapata talaka yake tukufu. Mtu unaacha kumuomba baba yako hela na kumpa majukumu eti unakuja kwangu nikutatulie matatizo yako....kwendraaaa pumbavu weeee.
 
Stori yako ya ulivyotapeliwa imenichekesha sana.

Stori yako nyingine na ya kwanza ilikuwa ya kumpiga kizinga tajiri wa Mwanza. Ulifanikiwa?
 
Hahahaha wanawake huwa mnanichekesha sana, mkikutana na wanaume msiowataka mnawawekea sheria kibao, mara oh hutoi papuchi kwenye first date, mara oh hadi uolewe ndio utoe papa, mara huji ghetto, mara oh mfahamiane zaidi, mara unasema unakuja hlf huji, kumzungusha mkaka wa watu weeee etc lakini mkikutana na mwanaume mnaemtamani, ghetto mnaenda wenyewe mapema iwezekanavyo, na sheria zenu mnaziweka pembeni, tena mnalipia kabisa na hela ya bodaboda ili kwenda kupata ukuni wa mwanaume handsome uliekutana nae jana akakualika ghetto kwake leo Nuzulati
We nae hutaniwiii povu lote na nini
 
Habari zenu,

Wanaume wengi wamekua na tabia ya kulalamika na kupigwa mizinga na wanawake.Wengine wanalalamika sana eti wanawake wanapenda sana kutangaza shida and blablabla..

Sikiliza bro, mwanamke anaweza kukupiga mzinga na akawa hana shida na hiyo hela but anataka tu kukufukuza so sometimes inabidi ujiongezee. Wewe kila ukimtafta anakutangazia shida tofauti tofauti hivi kweli unashindwa kujiongeza, unabaki kupeleka mashitaka jf ya kupigwa mizinga[emoji23][emoji23]

Kingine, kama una uhakika mmependana na mwanamke ,wewe usisubiri kuombwa pesa, mtumie tumie pocket money au mfungulie shughuli ya kumpatia kipato then uone kama atakupiga mizinga ya kijinga unless kama unadate ombaomba na mvivu.

Uzi tayari.
Ila hakuna kitu kinachowauma wanawake wapiga mizinga kama eat and run
 
Kwa wanaume tunaojielewa zaidi kama mm, sisubiri hadi unipigie Kizinga, nikukualika uje ghetto siku chache baada ya mm na ww kufahamiana, hlf ukaanza kunipa majibu haya:
1)uko busy
2)huna muda
3)huwezi kuja
4)Tuonane sehemu ya public (wazi)
5)Unaniambia utakuja Saa na siku flani, then huji hlf, hufanyi reschedule wala kutoa sababu ya maana ya wewe kutofika,
mimi nakupoteza jumla, nafuta mazoea na ww..

Wanaume wenzangu tukumbuke, alpha f*cks, beta bucks suzie _barbie Nuzulati Shunie

Kwa iyo unashauri tujifunze kuishi na nyege zetu
 
Habari zenu,

Wanaume wengi wamekua na tabia ya kulalamika na kupigwa mizinga na wanawake.Wengine wanalalamika sana eti wanawake wanapenda sana kutangaza shida and blablabla..

Sikiliza bro, mwanamke anaweza kukupiga mzinga na akawa hana shida na hiyo hela but anataka tu kukufukuza so sometimes inabidi ujiongezee. Wewe kila ukimtafta anakutangazia shida tofauti tofauti hivi kweli unashindwa kujiongeza, unabaki kupeleka mashitaka jf ya kupigwa mizinga[emoji23][emoji23]

Kingine, kama una uhakika mmependana na mwanamke ,wewe usisubiri kuombwa pesa, mtumie tumie pocket money au mfungulie shughuli ya kumpatia kipato then uone kama atakupiga mizinga ya kijinga unless kama unadate ombaomba na mvivu.

Uzi tayari.
Haipogo Dada angu, tena haitatokea kweny maisha
 
Back
Top Bottom