Habari zenu,
Wanaume wengi wamekua na tabia ya kulalamika na kupigwa mizinga na wanawake.
Wengine wanalalamika sana eti wanawake wanapenda sana kutangaza shida and blablabla..
Sikiliza bro, mwanamke anaweza kukupiga mzinga na akawa hana shida na hiyo hela but anataka tu kukufukuza so sometimes inabidi ujiongezee.
Wewe kila ukimtafta anakutangazia shida tofauti tofauti hivi kweli unashindwa kujiongeza, unabaki kupeleka mashitaka jf ya kupigwa mizinga[emoji23][emoji23]
Kingine, kama una uhakika mmependana na mwanamke ,wewe usisubiri kuombwa pesa, mtumie tumie pocket money au mfungulie shughuli ya kumpatia kipato then uone kama atakupiga mizinga ya kijinga unless kama unadate ombaomba na mvivu.
Uzi tayari.