Wanawake hupiga mizinga kwa sababu maalum

Wanawake sahivi wanasahau ata kushughulisha akili zao kujipatia kipato wanasubiri tuu mboo zije wapa hela. Nakumbusha wanaume tukitoa hela hakuna kuandaa mwanamke, wala kuuliza amekojoa au bado.
 
Nifanyeje niweze wanyima wanawake pesa kila wakiomba, roho ya huruma inanijia sana?
 
Huu ni uzoefu wako mdogo sana kwa wapiga mizinga, nikwambie tu hii tabia ya mizinga kwa lengo la kumkataa mwanaume ni local rejection.

Kama mizinga inapiga na mzigo anatoa hiyo ni rejection au anauza utu/pussy?!

Mizinga wanapiga hadi wanawake wenye vipato vizuri (hulka) na wanaenda mbali zaidi hadi waume zao wa ndoa wanawapiga mizinga (tabia wameizoea toka wanaanza balehe) kuacha wanashindwa.

Kauli mbiu ya wanaume hakikisha unatoa hela na dudu ananyonya!
 
Bebi nikuambie kitu
 
mambo ya nimfungulie, wakat ana mikono na miguu na yeye anaweza kufungua, huyo ni yule mwanamke ambaye maisha yake hayawezi kwenda bila mwanaume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…