na wanaume?
Utafiti uliofanywa nchini Uingereza umeonesha kwamba wa wanawake hutumia saa 5 kwa umbea, udaku na mambo kama hayo ndani ya siku 1.
Soure: tbc, uchambuzi wa magazeti.
My take: Kama hali ipo hivyo na muda wa kulala ni saa 8, basi wao hutumia nusu siku tu kufanya mambo ya maana!
Filipo boy......
Umeanzisha vita, mi nasepa!
nadhani wanaume wanatabia tofauti kutoka na umri wao...
vijana wakikutana - ku discuss ngono
watuwazima wakikutana - ku discuss ndoa zao na maswala ya kazi
napia ligawanywe kundi la walio kwisha oa na ambao hawajaoa.....
wanaume hatuna tabia moja kama ilivyo kwa wanawake....
<br />na wanaume?
Sante mwanakijiji.inabidi kwa kweli watoe maana ya umbea; maana yawezekana na hii mitandao ya siku hizi wengi tunaweza kuwa tunahusishwa humo. Jiulize tu unatumia muda kiasi gani kwenye MMU au FB