MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Kuna jemba fulani rafiki yangu huko Tanzania, jamaa huwatafuna wanawake balaa, na wote huwa hawaoneani wivu, huyu anajua yule kaliwa lakini anajiweka kwenye foleni naye atafunwe. Jamaa ni dogo fulani hana hela hata za gesti hukopa, hana yale masix pack, in fact anacho kitambi japo sio kikubwa, pia elimu yake ya form four Tanzania.
Pia sidhani kama ni dushe maana kunao ambao hajawala bado lakini wanamfuata fuata na vijimaneno vya kutaka awatongoze.
Nimekua najiuliza nini haswa huwavutia wanawake wote hawa, kwanza kawatia mimba wanawake kadhaa na wote wanarudi kwake tu. Hata kuna wanawake wengine wenye elimu kawapitia tu..... Sijajua siri nini ya kuwa na bahati kama ya kwake.