Wanawake huvutiwa na nini kwa wanaume kama huyu jamaa

Wanawake huvutiwa na nini kwa wanaume kama huyu jamaa

Jamaa anajua kuyapanga maneno yake. Hakuna kingine zaidi ya hapo.
 
Hahah kwa kweli kamanda, sema pesa sio kwa kila mtu, kuna wanawake wana pesa zao wanachohitaji ni furaha tu na company. Wajasiriamwili ndio wataodemand pesa mda wote maana hawana ujanja wa kuzikamata!
"...she looked inside my pockets then she called a nigga handsome..."

Asikudanganye mtu, demu kwanza anaangalia pesa, ajiridhishe kwenye survival kisha mapenzi baadae, we mwenyewe mkuu unajua wazi kabisa usipokuwa na pesa confidence zinaisha hadi 0% sasa usijidanganye mbona wanawake matajiri wanaliwa na maskini, je ushaona wanawake maskini wanaliwa na maskini kizembe, huyo hana akili
 
Sasa mi mwanamke maskini wa nini? Ni heri niwe kibabilon tu kuliko kutafta headache, mi nadate na wanawake independent tu. Kama sio independent tutaishia njiani. Ujinga wa kumuamini mwanamke na pesa zangu atumie kisha anisaliti sifanyagi sikuhizi. Ni mwendo wa Love in kind tu!
 
Huyo jamaa atakuwa anajua kuwatambua wanawake wageni kwenye mahusiano ni wepesi sana kuwadanganya
 
Obvious ukiwa mtu wa vichekesho madem weng wanakuzimia. Udhaifu wa wanawake wengi roughly 80% ni kusikia vitu vya kuufurahisha moyo wake na kumpa amani kila akiwaa karibu na wewe. Sasa ikatokea ukawa mtu wa story sana hasa zenye vituko na vimaneno vya kuvunja mbavu basi ujue utawakimbia wewe yani.
Nakumbuka kipindi niko chalii bro wangu tukikaa nae tunapiga story anatuchekesha sana marafiki za sista angu walikuwa wanamiminika home kila weekend wengi waliishia kumegwa na mnyamwezi!
[emoji23][emoji23][emoji23] 100% Trueeeee
 
"...she looked inside my pockets then she called a nigga handsome..."

Asikudanganye mtu, demu kwanza anaangalia pesa, ajiridhishe kwenye survival kisha mapenzi baadae, we mwenyewe mkuu unajua wazi kabisa usipokuwa na pesa confidence zinaisha hadi 0% sasa usijidanganye mbona wanawake matajiri wanaliwa na maskini, je ushaona wanawake maskini wanaliwa na maskini kizembe, huyo hana akili
Chali wako analeta mapenzi ya tamthilia kwenye kitaa kilichojaa shida na njaa zinazohitaji pesa kuliko maneno matamu na vichekesho.
I miss u baby Mzigua90
 
Mapenzi yana grade,kuna jamaa aliwahi nambia eti kwanini mwanamke akuumize wakati mjini hapa wamejaa,na yeye anachagua tu Leo awe na nani au nani,nilichogundua hapo baadae sana lakini ni kwamba kwenye mademu wake 20 aliyenivutia hata moja.
 
Kuna jemba fulani rafiki yangu huko Tanzania, jamaa huwatafuna wanawake balaa, na wote huwa hawaoneani wivu, huyu anajua yule kaliwa lakini anajiweka kwenye foleni naye atafunwe. Jamaa ni dogo fulani hana hela hata za gesti hukopa, hana yale masix pack, in fact anacho kitambi japo sio kikubwa, pia elimu yake ya form four Tanzania.

Pia sidhani kama ni dushe maana kunao ambao hajawala bado lakini wanamfuata fuata na vijimaneno vya kutaka awatongoze.

Nimekua najiuliza nini haswa huwavutia wanawake wote hawa, kwanza kawatia mimba wanawake kadhaa na wote wanarudi kwake tu. Hata kuna wanawake wengine wenye elimu kawapitia tu..... Sijajua siri nini ya kuwa na bahati kama ya kwake.
Mrejesho mkuuu jamaa bado anawatomba tomba

Alafu je hao mabinti ni wazuri!!
 
Ana nyota ya kimasikini huyo " wala usitamani kuwa kama yeye ".... Majitu mengi yenye sifa kama za huyo Jamaa yako " huwaga yanaona ngono ndio jambo la msingi la kujivunia " ukikaa nao story zao ni sijui fulani nimeshammega " na leo nakwenda kummega fulani ".... yaani ngono ndio dira kwao "..... angalio nawewe usijekutumbukia kwenye huo ujinga
Hahaha
 
Kutomba wanawake wengi siyo sifa, huyo jamaa yako aache upumbavu.
 
Back
Top Bottom