Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Katika mambo sijawahi kuyaelewa kwa wanawake ni hili la wanawake wanaovaa nguo zisizowakaa vizuri.
Inakuaje mtu anasikia raha kuvaa nguo isiyomfiti, inayomshughulisha muda wote akiwa ameivaa?!
Nini huwa kinawafanya wanawake wavae sketi fupi halafu waanze kuivuta vuta chini kila mara au wengine wavae nguo ndefu sana zinazoburuza chini kisha wanaziinua kuzishikilia mkononi muda wote??