Wanawake huwa hawachoki kuvaa nguo zisizowakaa vizuri na kuhangaika nazo muda wote ?!

Wanawake huwa hawachoki kuvaa nguo zisizowakaa vizuri na kuhangaika nazo muda wote ?!

Kuna wengine nimewashangaa sana, wao wamevaa madera/vijora wakawa wanapandisha juu ya magoti mpaka nikaona ile chupi inayoitwa taiti. Hawakunionea aibu wafunike ili nisione chupi zao hizo
Mkuu mwanaume kuona chupi ya mwanadada siku hizi siyo deal tena. Enzi za zamani ilikuwa shuleni au chuoni, mwanamke akijue chupi yake imeonekana alikuwa analia wiki nzima. Siku izi ikionekana ndiyo wanasikia furaha.
 
Katika mambo sijawahi kuyaelewa kwa wanawake ni hili la wanawake wanaovaa nguo zisizowakaa vizuri.
Inakuaje mtu anasikia raha kuvaa nguo isiyomfiti, inayomshughulisha muda wote akiwa ameivaa?!

Nini huwa kinawafanya wanawake wavae sketi fupi halafu waanze kuivuta vuta chini kila mara au wengine wavae nguo ndefu sana zinazoburuza chini kisha wanaziinua kuzishikilia mkononi muda wote??
Women Love Insufficiency.

Women Love Inadequacy.
 
Wanawake kiufupi katika maisha uwa hawajuwi wanachokita

Hata kwa baadhi ya wanaume pia wapo wenye tabia hii ya kutojuwa wanachokitaka ndio maana unakuta mwanaume yupo miaka 70 Hana sehemu ya kujiifadhi anaomba msaada!!

Mwanamke hata awe bilionea akili yake bado ni ya kitoto

Wapo wachache Sana wenye akili za kiume kwenye 100 utatoa mmoja!!
 
Mkuu mwanaume kuona chupi ya mwanadada siku hizi siyo deal tena. Enzi za zamani ilikuwa shuleni au chuoni, mwanamke akijue chupi yake imeonekana alikuwa analia wiki nzima. Siku izi ikionekana ndiyo wanasikia furaha.
tena wanafunzi wa kiume walishitakiwa kwa walimu na kuadhibiwa vibaya sana kwa kuona chupi za wasichana waliokaa mikao ya kihasarahasara bila kuziba mapaja yao chupi zisionekane
 
Mtoa mada asante kwa mada hii.
Pia kuna wanaume jamani wanavaa nguo zinawabana vibinda nkoi. Wengine mpaka maumbile yao yanajichora. Hua nawaza mtu kama huyo ametokaje nyumbani kwake na wengine wameoa kabisa. Kiukweli hua aibu naona mimi mwanaume akiwa amevaa nguo imembana mpaka kuonesha vitu vyake. Sio poa
 
Mwanamke anawezapereka nguo yake ya mtoko kwa fundi siku mbili kabla ya mtoko hata fundi akikosea hana tena muda wa kuirekebisha ataivaa hivyohivyo kwa kuilazimisha iwe ndefu au fupi halafu baada ya hapo haivai tena na ndio maana utaona wanaangaika sana ukumbini sababu huwa ni hiyo, hata akienda kununua ni hivyohivyo ananunua dakika za mwisho.
 
Raha ya dera ni lishikiliwe👌👌
Yaani ina raha yake sana tu.
 
Back
Top Bottom