"Wanaume ni wasimamizi wa wanawake"Katika mambo sijawahi kuyaelewa kwa wanawake ni hili la wanawake wanaovaa nguo zisizowakaa vizuri.
Inakuaje mtu anasikia raha kuvaa nguo isiyomfiti, inayomshughulisha muda wote akiwa ameivaa?!
Nini huwa kinawafanya wanawake wavae sketi fupi halafu waanze kuivuta vuta chini kila mara au wengine wavae nguo ndefu sana zinazoburuza chini kisha wanaziinua kuzishikilia mkononi muda wote??
Baba yupi,hawahawa mashoga🤣🤣🤣Kizazi cha watoto walio changanyikiwa kwa sbb ya kukosa malezi ya baba.
Hakika tutembee na majibu yao🤣🤭Naona wanawake hapo wamejibu haraka haraka sana. Ooky tutembee na majibu Yao.😔
Katika mambo sijawahi kuyaelewa kwa wanawake ni hili la wanawake wanaovaa nguo zisizowakaa vizuri.
Inakuaje mtu anasikia raha kuvaa nguo isiyomfiti, inayomshughulisha muda wote akiwa ameivaa?!
Nini huwa kinawafanya wanawake wavae sketi fupi halafu waanze kuivuta vuta chini kila mara au wengine wavae nguo ndefu sana zinazoburuza chini kisha wanaziinua kuzishikilia mkononi muda wote??
Mbona kabla ya wakoloni kututapeli na kutuletea nguo wanawake walikuwa wanavaa vibwaya tu huku matiti yakiwa nje, waacheni waburudishe macho ya wananzengo.Ikitangazwa kutembea uchi ni fasheni mpya wanawake watakuwa wa kwanza kufurahia
Hawaeleweki,na ukiona unaanza kuwaelewa ujuwe siku zako zinakaribia kwisha hapa duniani..Katika mambo sijawahi kuyaelewa kwa wanawake ni hili la wanawake wanaovaa nguo zisizowakaa vizuri.